Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Hata siku moja punda habebwi kwenye gari
kwani anaweza kufa kwa utamu ataopata

attachment.php
 
-filisika ujue tabia ya mkeo
-uchakavu wa mahakama si nafuu ya hukumu
-kazi ya moyo n kusukuma damu,kupenda n kiherehere
 
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki.. 6. Pesa huna, Nguvu huna, hata MKWARA?
 
Back
Top Bottom