Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Samaki hachinjwi.
Samaki hapati kiu
Kunguru haungwi mchuzi
Kama unaumia vaa uende
Salimia watu pesa huisha
 
Back
Top Bottom