Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1478690188713.jpg
 
Nchi hujengwa na wenye moyo na huliwa na wenye meno![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mwisho wa usharobaro ni majukumu.
Chizi katoa wazo...
Kesi ya mbuzi hakimu chui unategemea nini?
Kaushaa
Mezea basi wewe siyo wa kwanza
Iga kazi usiige matumiz
Kabadili nguo uje
Toroka uje
Popote kambi
Hapa stori tu msosi kwenu
Asali chungu
Mungu anawaona
Malipo hapa hapa
Tajiri wa kesho
Ya jirani...tamu
Msitu mjini
 
Back
Top Bottom