Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini.

1. Majungu mliyoyapika sasa mtayapakua
2. Nenda kaseme tena
3. Gusa unate
4. Flag ya chuma
5. Masikini hafilisiki
6. Pumbu haikunwi kwa mawe
 
Mtoto alimwambia Babake kuwa ''Baba mie nataka nimuoe Mama yako'' daa!! mzee alikasirika huyo.......akamuuliza kwa hasira kwa nini?? unaniuliza hivo umeanza kuvuta Bangi eee??

kijana akajibu kwa upole tu ''Hapana! Baba mbona wewe umemuoa Mama yangu??
Baba akasema ''alaaah!! kuumbe!!! ''basi huyo hapo mkubalianeni tu wenyewe''

kijana akaenda kupiga swaga kwa Bibi yake!! kibibi kikachekaaa!! ...Yaani mpaka sasa kinacheka sijui kwa nini!!! basi bwana ukabakia tu utani! mpka leo! utasikia kibibi kinasema ''Mume wangu'' ''Mume wangu'' Mume wangu'' mpaka leo ni hivohivo tuuu!!

Lkn wengine Wanavutia wanachapana!! paja paja la haja! hasa km vibibi bado vijana vijana!! mfano km Eclat wanarekebishana tu!! hakuna noma! wala nini......
 
Na sisi tuchapane basi paja la haja mrembo ?
 
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini.

1. Majungu mliyoyapika sasa mtayapakua
2. Nenda kaseme tena
3. Gusa unate
4. Flag ya chuma
5. Masikini hafilisiki

siraha pesa kisu hatari
 
Back
Top Bottom