Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Ni kweli muungwana misemo ya kwenye vyombo vya barabarani ni mingi na baadhi inachekesha. Yote uliyoiandika imo ila nitaongeza baadhi. Umekuwa mtindo kwa wenye mabasi na malori kuandika pia majina ya vitu au kitu kinachojulikana na wengi.Nakumbuka kwa mfano mwaka 1997-2000 wakati kituo cha ITV kinaonyesha tanthiliya ya EGOLI, mabasi kadhaa ya abiria Yalichora neno EGOLI kwenye bodi za mabasi hayo, hasa kwenye kioo kikubwa cha nyuma. Baadhi ya misemo mingine ni:

Kama kuoga ni usafi kwanini taulo huchafuka?
Kama waijua kaizibe
Wakati mwingine hata majina ya watu maarufu duniani hutumiwa sana.Nilishapata kuona mabasi yameandikwa:
Hans Blix
George Bush
Osama bin Laden
Sylvester Stallone
Arnold Shwaznagger nk

Baada ya miezi miwili usishangae kuona basi limeandikwa "Mafuriko ya Dar"

Naomba wengine wachangie
''NORIEGA WANTED PANAMA CITY'' Mwenge Gongo la Mboto! ......wkt uleee Rais Noriega akitafutwa na MAREKANI, ajili ya kuuza madawa ya kulevya akakimbilia ubalozi wa vaticanQ
 
.
JamiiForums1667196513.jpg
 
MAFUKARA/ZUMBUKUKU! NI KADA YA WATU, WALIOKATA TAMAA, MAZUZU VILEMA WA AKILI! HAYAJUI MAANA YA PESA! UTAJIRI, HAWAJAWAHI KUOTA KUTAJIRIKA WAKO IVO WALIVYO HAWANA WIVU NA MALI ZA MATAJIRI, WANAJUA KULA NA KULALA,WANA KULA TU ILI MRADI LIENDE, LAKINI....

MASKINI NI AINA YA WATU WENYE KUWA HIVI; WANAOTA/JARIBU KUUTAFUTA UTAJIRI LKN HOLAAAA! WANAWAONEA WIVU SISI MATAJIRI, YAMKINI HATA KUWAIBIA ILI NA WAO WAWE WATU,

ANAJUA KUNA KITU KINAITWA PESA LKN HANA, MALI, ANAJUA MITAA MIZURI YA MATAJIRI, ANAWATAMANI MATAJIRI LKN KAMWE HAFIKI HUKO! ANAUGULIA MOYONI YAMKINI ANA PRESSURE, AJILI YA KUWAZA SANA!

KWA MFANO HAPO BONGO TAJIRI KUBWA NI BAKHRESA LKN AKIJA HUKU TUNAKOISHI SISI ''BARHIKHIM NAUM HIGHLAND'', NI KM MSUKUMA MKOKOTENI TU, KWA SABABU

UTAJIRI WAKE HAUFIKII HATA MIAKA 100, HUKO NYUMA, HANA UWEZO WA KUENDESHA SERIKALI YEYOTE DUNIANI, BADO NI MASKINI SANA SABABU ANAUZA MALI ZA WATU, ANATUMIA MELI ZA WATU WENGINE! HANA HATI MILIKI YEYOTE DUNIANI,

SISI MATAJIRI WA DUNIA KWA MFANO KIDOGO TU NIKUPE,TECH.YA MADEGE MAKUBWA KWA MADOGO, ...MAFUTA, MIGODI YOTE DUNIANI NI MALI ZETU SISI! NDO TUNAJUA TUNACHIMBA NA TUNAZIPELEKA WAPI!NA KWA NINI!

NA HIKI KIZAZI CHA UZAO WETU HUU TUMEKUWA HIVI TAKRIBANI KARNE MIA TATU HIVI...WENZETU NI KINA ''LA MEDIS'' ROTHCHILD, MEROVENGIAN FAMILIES! JF KENNEDY NK! TUNAOLEANA SISI KWA SISI!

TWAWEZA ISHI POPOTE DUNIANI NA TUKAWA SALAMA SANA!
Nimekunja sura kisha baada ya kwenda mbele kidogo nikatabasamu nilipogundua kwamba kumbe ni changamsha genge tu umeweka

Anyways hii comment yako ngoja niikariri kisha nitakukamata pahala!
 
Nimekunja sura kisha baada ya kwenda mbele kidogo nikatabasamu nilipogundua kwamba kumbe ni changamsha genge tu umeweka

Anyways hii comment yako ngoja niikariri kisha nitakukamata pahala!
Ningejikataa sana! km ungenielewa kirahisi! sisi uzao wetu huaga tuneleweka baaadaye sana! vizazi vya mbele hukooo! km Yesu wangemuelewa,asili yake wallah! wasingethubutu kumuua!

lkn waliomuelewa hata kumi hawafiki, na mie pia ivoivo! mdo tulivo!...siyo kosa lako! ila vinsaba vyako!
 
Ningejikataa sana! km ungenielewa kirahisi! sisi uzao wetu huaga tuneleweka baaadaye sana! vizazi vya mbele hukooo! km Yesu wangemuelewa,asili yake wallah! wasingethubutu kumuua!

lkn waliomuelewa hata kumi hawafiki, na mie pia ivoivo! mdo tulivo!...siyo kosa lako! ila vinsaba vyako!
Uzao gani? Uandishi tu ufyoko.. acha kujipaisha kwenye hamna tuliza kipele.
 
Back
Top Bottom