Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

"kama imeuma sema"


hii misemo utipata sana bus za gongo la mboto - posta zile DCM daah yani hapo kashakuchomekea afu nyuma unakutana na hayo maandishi basi unabakia kujitukania mwenyewe kwenye kimkoko chako na kihasira kitaisha tu utake usitake.
 
mtwara kwetu, lindi kwetu, songea kwetu, singida kwetu,......
 
kama unaweza kupata maziwa, sio lazima kufuga ng'ombe
 
Iga ufe, Kiume pesa, Biashara asubuhi mahesabu jioni, Kipofu kaona mwezi, Kunguru hafugiki, Safari na muziki, Kazi na dawa. Ongezea za kwako.
 
upara bila pesa ni kovu tuu
kusoma kuelewa kukesha mbwembwe
 
Back
Top Bottom