Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Njaa haina baunsa, umeama nyagwa una kaa zwa, mjini shule shamba kulima, kiume pesa kudinda ugonjwa
 
someni na ujumbe wangu hapa chini uko kwenye Hiace moja
 
Mchana inzi, usiku mbu

Sent using wireless by wire
 
Akikua ataacha

Sent using wireless by wire
 
Back
Top Bottom