nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
mbuzi kala mkeka wapambe mtalala wapi?