Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Mke wamtu sumu,mume wa mtu maziwa.
Hirizi haishonywi kwa cherehani.
Usiyempenda kaja
Bosi kasema
 
1.Usiempenda kaja
2.pesa huna,nguvu huna ,hata mkwala?
3.masikini hana mpambe
4.Utoto raha jamani
 
Hii kwenye Lori...
 

Attachments

  • 1393667704778.jpg
    1393667704778.jpg
    39.6 KB · Views: 1,216
1 Utakula ulikopeleka mboga
2 Heshima pesa! Shkamoo kelele!
3 Mchawi mtu! Paka anatumwa!
4 Ukiona! Kausha
 
Back
Top Bottom