Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee jamaa umenifanya nicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nao wakasemezana tumfanye Mfalme huyu atutawale milele maana kupitia yeye tumepata kibali mbele ya macho ya muumba. Makinikia 21:3-4
Mkuu neno hili linatoka kitabugani taja na mstari nisomeHalafu kuna Watu kwa kutokujua au Upumbavu tu wanakubali kuishi na stress saa 24 za siku au kutumia gharama kubwa tu kunywa Pombe kali kuondoa stress wakati kwa bundle yako ya Tsh 500/= unaweza kutokomeza stress kwa 100%
Nae gwajima atatambua ilo basi akajipanga kwa mashambulizi nae bwana akamshukia nae kwa kunena tu maneno, bashite akachanganyikiwa na kulia, kwa ujinga wake mwanamfalme bashite akaandaa vita kwakutumia clouds tv lakini clouds wakamuhasi mwanamfalme.Bavicha na bawacha waliokuwa wakiujaribu utawala wa mfalme wakatiwa gerezani.Mwana wa mfalme Bashite akacheza mbele ya mfalme na mkewe kwa furaha.Mfalme akafurahi kwa jinsi alivyocheza,akaahidi kumpa zawadi yoyote aliyotaka!Mwana wa mfalme akachagua kupewa kichwa cha gwaj......Escrow 5:6_12.
Fenti fodi: 1-3Mkuu neno hili linatoka kitabugani taja na mstari nisome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitasoma baadaeFenti fodi: 1-3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Amen, amen nakuhakikishia, huu uzi hautaisha hadi utakapoona Noah zikidondoka toka mawinguni kama vichwa vya treni. Makinikia 6:1-2
Mkuu ndio jambo lenyewe lilivyo halielewekiHahahaha acha zako 15-8
Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Napenda hii comments mpaka basi. Shukurani nyingi Ndugu Daudi Mchambuzi.