Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Halafu kuna Watu kwa kutokujua au Upumbavu tu wanakubali kuishi na stress saa 24 za siku au kutumia gharama kubwa tu kunywa Pombe kali kuondoa stress wakati kwa bundle yako ya Tsh 500/= unaweza kutokomeza stress kwa 100%
 
Nao wakasemezana tumfanye Mfalme huyu atutawale milele maana kupitia yeye tumepata kibali mbele ya macho ya muumba. Makinikia 21:3-4
Weee jamaa umenifanya nicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bavicha na bawacha waliokuwa wakiujaribu utawala wa mfalme wakatiwa gerezani.Mwana wa mfalme Bashite akacheza mbele ya mfalme na mkewe kwa furaha.Mfalme akafurahi kwa jinsi alivyocheza,akaahidi kumpa zawadi yoyote aliyotaka!Mwana wa mfalme akachagua kupewa kichwa cha gwaj......Escrow 5:6_12.
 
Bavicha na bawacha waliokuwa wakiujaribu utawala wa mfalme wakatiwa gerezani.Mwana wa mfalme Bashite akacheza mbele ya mfalme na mkewe kwa furaha.Mfalme akafurahi kwa jinsi alivyocheza,akaahidi kumpa zawadi yoyote aliyotaka!Mwana wa mfalme akachagua kupewa kichwa cha gwaj......Escrow 5:6_12.
Nae gwajima atatambua ilo basi akajipanga kwa mashambulizi nae bwana akamshukia nae kwa kunena tu maneno, bashite akachanganyikiwa na kulia, kwa ujinga wake mwanamfalme bashite akaandaa vita kwakutumia clouds tv lakini clouds wakamuhasi mwanamfalme.
Ndipo gwajima akashinda vita iyo bila upanga bali kwa neno la bwana.
Gwajiboy 2:5-9
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nchi ya wadanganyika hahahaha
 
Ndipo mfalme sizonje akawaambia vichwa vya treni niambieni baba yenu ni nani? nao wakajibu baba yetu ni huyu hapa...
[emoji116] [emoji116]
tapatalk_1499334049123.jpeg

Baada ya TRL kukana kuwa simjui mtu huyu, ndipo sheria akawaamuru vichwa vya treni ondokeni kwangu nyie mlioshuka toka kuzimu, magumwisho 2020:1-2020
 
Amen, amen nakuhakikishia, huu uzi hautaisha hadi utakapoona Noah zikidondoka toka mawinguni kama vichwa vya treni. Makinikia 6:1-2
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Kisha BWANA akanena na Wadanganyika na kuwaambia,mwanafunzi msichana akipata mimba na kuzaa,ndipo hapo yu najisi katika elimu yangu.[MATENDO YA MAKADA 12:1-4]
 
Ha ha ha haaa ahsanteni wote mliokomenti kwenye huu Uzi.....Leo USO wangu ni full tabasamu.
Nilikuwa siamini kama ninaweza kufurahi nikiwa sina pesa mfukoni....Ila Leo nimeamini.
Comments za Leo...ha ha ha haaaaa
 
Heshima nyingi kwako mwanzilishi Wa huu Uzi Ndugu tenser Analysis....
Ikiwezekana huu Uzi usifungwe kabisa. Utasaidia kuponya stress za wanaJF....ha ha ha haaaaa
Ahsante Tenser.
 
Akamwambia,nenda pande ya kaskazini,utakuta vichwa kumi ,uniletee magovi yao.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom