[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na makada wakazidi kisema, ashukuriwe Mungu wa mbinguni aliyetupatia mfalme huyu, tena tutayabadilisha hata maandiko ili atutawale milele maana mpaka taifa stars inafika final i tangu mfalme sizonje ameanza kutawala.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Mkuu ukawa imetokea wapi tena? Tatizo unatafsir maandiko ukijua yanahusu CCM, no sisi hatuna maana hiyo ila tumeamua kusemezana kwa lugha ya kibibliaHa...ha...ha...toka nimejiunga Jamiiforum, uzi huu ni wakwanza kunifanya nitabasamu kwa furaha.
Kweli wanadamu wanamambo mengi mazuri.
Uzi huu ni mzuri na wa kufurahisha kuliko zote nilizowahi kuzisoma.
Asanteni wakuu kwa ubunifu mzuri.
Ingawa naona wachangiaji wengi wanashambulia upande mmoja wa watawala.
Kwenye ukawa nako kuna aya nyingi tu za kufurahisha.
Hapa ni kufurahi tu.
Wahenga walisema,Mkuu ukawa imetokea wapi tena? Tatizo unatafsiraandiko ukijua yanahusu CCM, no sisi hatuna maana hiyo ila tumeamua kusemezana kwa lugha ya kibiblia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msumariKama ilivyo desturi ya wayahudi pale inapotokea kuhani kajiudhulu ama kafa nafasi yake hupaswa kujazwa na kuhani kutoka kabila la Kaisari na si vingine .Basi ikatokea kuhani Mzee wa kitongoji cha Kaprenaum akaamua kuachia ngazi maana aliona haendani na kasi ya kuhani mkuu, ndipo jambo la ajabu likatokea; kuhani mkuu akamteua mama mmoja mgalilaya kuwa kuhani wa Kaprenaum na Huyo mama pasi na aibu akakubali uteuzi huo. Ndipo wayahudi wakaanza kuilizana "imekuwaje mama huyu mgalilaya ambaye humpinga kuhani mkuu ateuliwe kuwa kuhani?" Hakika jambo hilo lilizua gumzo kubwa mpaka kupelekea wayahudi kuona kwamba kuhani mkuu ana mpango wa kunyamazisha wanaompinga.(teuzi3;15_17)
Delta Force
Jiwe gizani.....ila nahisi atalitakae mpata atalia kimya kimya [emoji23]Kama ilivyo desturi ya wayahudi pale inapotokea kuhani kajiudhulu ama kafa nafasi yake hupaswa kujazwa na kuhani kutoka kabila la Kaisari na si vingine .Basi ikatokea kuhani Mzee wa kitongoji cha Kaprenaum akaamua kuachia ngazi maana aliona haendani na kasi ya kuhani mkuu, ndipo jambo la ajabu likatokea; kuhani mkuu akamteua mama mmoja mgalilaya kuwa kuhani wa Kaprenaum na Huyo mama pasi na aibu akakubali uteuzi huo. Ndipo wayahudi wakaanza kuilizana "imekuwaje mama huyu mgalilaya ambaye humpinga kuhani mkuu ateuliwe kuwa kuhani?" Hakika jambo hilo lilizua gumzo kubwa mpaka kupelekea wayahudi kuona kwamba kuhani mkuu ana mpango wa kunyamazisha wanaompinga.(teuzi3;15_17)
Delta Force
Ndo umeona huu uzi mkuu[emoji28] [emoji28]Aisee [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio camanda nimecheka Sana Leo[emoji3][emoji3][emoji3]Ndo umeona huu uzi mkuu[emoji28] [emoji28]
Huu uzi ni wa ukweli sanaNdio camanda nimecheka Sana Leo[emoji3][emoji3][emoji3]