Kama ilivyo desturi ya wayahudi pale inapotokea kuhani kajiudhulu ama kafa nafasi yake hupaswa kujazwa na kuhani kutoka kabila la Kaisari na si vingine .Basi ikatokea kuhani Mzee wa kitongoji cha Kaprenaum akaamua kuachia ngazi maana aliona haendani na kasi ya kuhani mkuu, ndipo jambo la ajabu likatokea; kuhani mkuu akamteua mama mmoja mgalilaya kuwa kuhani wa Kaprenaum na Huyo mama pasi na aibu akakubali uteuzi huo. Ndipo wayahudi wakaanza kuilizana "imekuwaje mama huyu mgalilaya ambaye humpinga kuhani mkuu ateuliwe kuwa kuhani?" Hakika jambo hilo lilizua gumzo kubwa mpaka kupelekea wayahudi kuona kwamba kuhani mkuu ana mpango wa kunyamazisha wanaompinga.(teuzi3;15_17)
Delta Force