Lumumba 4:5-13Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
HahahahahNdipo waDanganyika wote walipoinua macho yao mbinguni na kusema "Amina, na aihimidiwe Bwana Mungu wetu, milele na milele. Na huyu mfalme mtumishi wake atutawale mpaka itakaposhuka Boeing Dreamliner 787 kwa mtindo wa vichwa vya treni. Amina." (Chato 13:3-7)
STORY ZA VIJIWENI 3:16 nao mateja wakainuka wakapaza sauti zao wakasema tunamoka ili kusafiri kihisiaHivi Hata usiku bangi inavutwa?
Hahaha dahKisha wakiwa wale wakamuuliza mfalme, je tutafidiwa uharibifu huu ulioletwa na janga hili?
Mfalme kwa majigambo akawauliza watu wale wenye huzuni kuu, je ni ufalme wangu uliotukuka uliyoyaleta yote haya? Nao wakajibu la hasha mfalme tuhurumie jmn twafaa. Mfalme akawaambia hakika nyinyi mmelaaniwa lile gonjwa kuu limetokea kwenu na bado kutetemeka bado ni nyie.
Baada ya kusema hayo ndipo mfalme akajitwalia na zile shekeli zote kutoka kwa wasamaria na kuondoka zake kimya kimya.
Washomile 1:20 25
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmoja wa wapinzani akapaaza sauti akisema eeeeee Sizonje usinisahau ktk ufalme wako.
Naye Sizonje akamjibu amini nakuambia kuanzia sasa Parole itakuwa mikononi mwaki.
KUJIPENDEKEZA 1:1
HahaNdipo wapambe wake wakamuuliza bwana mkubwa wananchi wanaulizana wewe ndiwe ulitabiriwa na baba wa taifa ama tumgonje mwingine?
Akawajibu " Nendeni muwaambie mliyoyaona na kuyasikia, Malinzi yupo ndani, Manji kasota lumande, Singasinga na Ruge wameshazoea Segerea, hakika nawaambieni halitasalia fisadi hata moja juu ya nji hii.
MAJIPU 1:7-9
Hahahaha acha zako 15-8Hii ni bandari 5:15-8
"Na hata Sizonje alipotafuta kiki, kwa kuwaona wana wa nchi ile ni wapumbavu, basi wao wakaonyesha werevu wao, na kuufunua upumbavu ulio juu yake na makuhani wake" Mwafaa 7-6Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.