Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Ndipo waDanganyika wote walipoinua macho yao mbinguni na kusema "Amina, na aihimidiwe Bwana Mungu wetu, milele na milele. Na huyu mfalme mtumishi wake atutawale mpaka itakaposhuka Boeing Dreamliner 787 kwa mtindo wa vichwa vya treni. Amina." (Chato 13:3-7)
Hahahahah
 
Ndipo Sizonje akatuma watu wake hadi ufalme wa Uhabeshi na ufalme wa Cargame kwani alikuwa amesikia wafalme hao wamedumu madarakani muda mrefu bila misukosuko naye aliwapenda wafalme hao.

Mojawapo ya wajumbe toka ufalme wa Cargame alimletea salaam za kumtia moyo na mbinu mpya za kuwanyamazisha wale wote wanaodhubutu kuhoji mamlaka yake kwa kuwatumia DCs na RCs. "Mimi ndiye Raisi wa Tanzania 17:8-12"
 
Kisha wakiwa wale wakamuuliza mfalme, je tutafidiwa uharibifu huu ulioletwa na janga hili?
Mfalme kwa majigambo akawauliza watu wale wenye huzuni kuu, je ni ufalme wangu uliotukuka uliyoyaleta yote haya? Nao wakajibu la hasha mfalme tuhurumie jmn twafaa. Mfalme akawaambia hakika nyinyi mmelaaniwa lile gonjwa kuu limetokea kwenu na bado kutetemeka bado ni nyie.
Baada ya kusema hayo ndipo mfalme akajitwalia na zile shekeli zote kutoka kwa wasamaria na kuondoka zake kimya kimya.
Washomile 1:20 25
Hahaha dah
 
Ndipo wapambe wake wakamuuliza bwana mkubwa wananchi wanaulizana wewe ndiwe ulitabiriwa na baba wa taifa ama tumgonje mwingine?
Akawajibu " Nendeni muwaambie mliyoyaona na kuyasikia, Malinzi yupo ndani, Manji kasota lumande, Singasinga na Ruge wameshazoea Segerea, hakika nawaambieni halitasalia fisadi hata moja juu ya nji hii.

MAJIPU 1:7-9
 
Mmoja wa wapinzani akapaaza sauti akisema eeeeee Sizonje usinisahau ktk ufalme wako.

Naye Sizonje akamjibu amini nakuambia kuanzia sasa Parole itakuwa mikononi mwaki.
KUJIPENDEKEZA 1:1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndipo wapambe wake wakamuuliza bwana mkubwa wananchi wanaulizana wewe ndiwe ulitabiriwa na baba wa taifa ama tumgonje mwingine?
Akawajibu " Nendeni muwaambie mliyoyaona na kuyasikia, Malinzi yupo ndani, Manji kasota lumande, Singasinga na Ruge wameshazoea Segerea, hakika nawaambieni halitasalia fisadi hata moja juu ya nji hii.

MAJIPU 1:7-9
Haha
 
f5542ceb2c122cb524f4d12a792ad03f.jpg


522f02254bb1029e6cf089bacc8b1921.jpg


a18d370b9af3f60fed0851779d4e3c24.jpg


Kama umeshakipitia kitabu hiki ongezea mistari zaidi
 
Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
"Na hata Sizonje alipotafuta kiki, kwa kuwaona wana wa nchi ile ni wapumbavu, basi wao wakaonyesha werevu wao, na kuufunua upumbavu ulio juu yake na makuhani wake" Mwafaa 7-6
 
Back
Top Bottom