Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

4ce69dd44781056b09b54f2ebfa2a5f6.jpg
Duu hii Kali
 
Hahahahahaaa
Kwa maana bwana hamtupi mjae, watu wa nchi ile walishukuru kupokea zawadi ya vichwa vile vya treni Kwa kusema
Bwana umwema mno
Lakin mfalme Wa nchi alikosa majibu ya neema hizi Kwan aliona hakufanya LA maana katika nchi yake mpaka kustahili zawad hii
Hii ilitokana na yeye kukosa maelewana na muumbaji Wa vichwa pamoja na watumishi wake
 
"Basi Neema Ikaja Katika Nchi Ile Ndipo Vichwa Vya Treni Vikashushwa kando Ya Bahari, Maana Reli Ilikuwa Inajengwa Wakuu Na Watu Wake Wa Nchi Ile Wakastaajabu Wakisema Haleluya Haleluya Bwana Ametubariki." Tanganyika 5:42-44

Nao wakavitwaa vichwa vile vya treni huku wakipaza sauti zao na kusema "hakika SIZONJE" ametenda makuu
Tanzagiza 3:6-7

Hivi Hata usiku bangi inavutwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na kwa jinsi gadhabu ya Bwana,SIZONJE ilivyo waangukia wana wa DANGANYIKA......wakaambizana ole wake atakaye vikubali na kuvitwaa VICHWA HIVYO.....Hatusomeshi Wazazi-7:28-31
[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki ya nani leo mbafu sangu zitakomaaa
 
Hahahahahaaa
Kwa maana bwana hamtupi mjae, watu wa nchi ile walishukuru kupokea zawadi ya vichwa vile vya treni Kwa kusema
Bwana umwema mno
Lakin mfalme Wa nchi alikosa majibu ya neema hizi Kwan aliona hakufanya LA maana katika nchi yake mpaka kustahili zawad hii
Hii ilitokana na yeye kukosa maelewana na muumbaji Wa vichwa pamoja na watumishi wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5 : 13
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji25] [emoji25] [emoji61] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom