Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Nao walipokwisha kuona vichwa vile wakamfata sizonje na kumuuliza
Bwana bwana huu ndio muujiza ulitwambia kuwa utatokea kwenye nchi ya wadanganyika??
Nae alivyosikia maneno hayo akanyoosha mkono wake juu na kusema!
Amini amini nawaambia ni bora kuamini unachokiona kuliko kusubiri uambiwe kilichotokea,ondokeni upesi mkavitwae na mvitumie kwa usafiri wa umma .
Mwenge wa Uhuru 20:45-48

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Ndipo nabii lisu akamwambia mfalme sizonje "hakika hutoshinda vita ya makinikia asema bwana wa majeshi" nae mfalme akaamua kuibukia bandarini kusafisha jina lake mbele ya mataifa. Na kutoa maneno ya makufuru juu ya yule mzee mwenye hekima mamvi. Madaraka ya kulevya 13:7
 
ae80c0714b9a5871198d9c16f949a234.jpg
dbb32581c5410fbd0d389b48989cebf7.jpg
 
Back
Top Bottom