Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Wafalme wa willaya 4:2-6Mkuu neno hili linatoka kitabugani taja na mstari nisome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafalme wa willaya 4:2-6Mkuu neno hili linatoka kitabugani taja na mstari nisome
Kwa maana Sizonje aliipenda sana Danganyika akamtuma mwanae wa pekee Bashite ili kwa yeyote atakayemuuliza vyeti asipotee bali apate tumbuko la uteuzihahahaha, nasoma misale ya waumini, hahahahahaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi vichwa vya tren vilihojiwaNdipo mfalme mtukufu wa makinikia akaviuliza vichwa vya treni, Nyie ni yatima au mna wazazi?
''Kwa hakika hii ni sehemu ya chenji ya yale makanikia'', Bwana akawambia watu wake.- Vichwamaji: 23-24
Hahaaaaaa. Mtanifanya nionekane kichaa kwa kucheka pekee. Haya maajabu yapo Tanzania tu.Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Hii inaitwa ukikataza kuongea kwa sauti tutajamva kwa sauti mradi kunuke tuMna akili yani kuna matusi hapo sema yapo kisilencer huwezi mshtaki mtu
Credit kwa Ali saleh mbunge wa cuf kwenye twiter yake!Huu uzi usiishe jamani iwe kama makapuku forum.... Jina la huku liwe maandiko forum
Ewe Nyamtalakyono ni nani aliyekuroga hata unashindwa kujua kuwa Kuhani mkuu na wasidizi wake anatufanyia maskhara kutuambia kuwa muujiza wa vichwa vya treni hawautambui?Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
Mbavu zangu mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo kwenye daladala nimekaukiwa na kicheko