Misemo ya Mpoki jamani!

huwezi kuzuia roli kwa kupanga nyanya barabarani
 
Vyombo vya dola hata vishuke bei kiasi gani, kamwe haviwezi kuitwa vyombo vya shilingi.
 
zipu ina meno, lakini haipigi mswaki.

Takwimu zinaonyesha kwamba, 8 kati ya kila watu 10 wanaojamba hujifanya si wao na kuuliza "Jamani nani tena kachafua hewa?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…