Misemo ya Mpoki jamani!

Misemo ya Mpoki jamani!

I feel sorry for you too. Ungekuwa huku ungeelewa kwa nini wanaact vile. Ni maisha yetu ya ki-bongobongo yalivyo.
Mfano, chukulia mkaazi typically wa Tandale anunue gazeti la Daily News, si itakuwa kituko? Kule nenda kauze kiu, ijumaa, uwazi ndo litatoka. Kumbuka nimesema mkaazi typical wa Tandale.

mwambie huyo, hajui kua treni haiingii sheli?, au radio call haiingizwi vocha? Ulaya na bongo wapi na wapi
 
Mtoto kua wa kwanza darasani sio dili,dili ni wastani wa alama alizopata.
 
unasoma wap?.. Chuo kikuu! Course gan? Vita!
 
wapendwa....hata Mpoki kasema..
"Ukiona panya kakatisha sebuleni ujue anataka kujulikana."

huyo mwenzetu anayedai yupo Ulaya alikuwa anataka ajulikane,tushamjua,na maoni yake tushayasikia,sasa namuomba apeleke malalamishi yake kwenye website ya Ze Orijino Komedi ili yashughulikiwe na sio kuanza kujibizana na watu hapa,haileti maana na si vizuri...na hakika nyoote humu mna hekima,basi tutumia akili zetu na si midomo tu...kumbukeni...

Before you open your mouth, make sure you have a mind to back up all the things you say.
 
Hata kichwa kiwe kikubwa vipi nywele hazijai karai
 
Back
Top Bottom