Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

Mkitaja Hiyo Mishahara ya milioni 1+ wala sio mikubwa! Mimi Nataka nijiajiri tu niwaachie nyie hii kitu inaitwa 'mshahara '
Lakini cha ajabu ni kwamba ili wewe uliejiajiri uweze kupata faida unahitaji waajiriwa walipwe mshahara ili waje kununua huduma au bidhaa unayoiuza...hahahaha
 
Siko TANESCO bhana ila nimfatiliaji mzuri tu.
Jamani Tanesco wako poa sana hasa wale wanaofanya kazi kwenye plants kama kidatu, MTERA , hare n.k, pia kila baada ya miaka 10 mtumishi anapewa cement kwa ajili ya ujenz mifuko kibao tu au unapewa thamana ya pesa , tena baada ya kutimiza hiyo kumi ....Kitano ijayo unapewa zawadi kubwa tu au kiasi cha pesa sio chini ya milioni 5 .....hii ya miaka 5 inakuwa mwendelezo Hadi unapostaafu.
 
Jamani Mimi nataka kujua mshahara wa assistant lecture?? Basic gross ngapi na take omu unabaki. Ngapi
Hiyo sina uhakika na mshahara wake, ila ninachojua kuwa inategemea na chuo unachoenda kufundisha kutokana na salary scale wanazoplan wao.
 
Nawazee wa Sub/Transmission jamaa wanakula Safari kama hawana akili nzuri naskia.
 
Tanroads scale salary.hizi zinakua na maana gan ya
1.7, 2.1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…