Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

Mkitaja Hiyo Mishahara ya milioni 1+ wala sio mikubwa! Mimi Nataka nijiajiri tu niwaachie nyie hii kitu inaitwa 'mshahara '
Lakini cha ajabu ni kwamba ili wewe uliejiajiri uweze kupata faida unahitaji waajiriwa walipwe mshahara ili waje kununua huduma au bidhaa unayoiuza...hahahaha
 
Siko TANESCO bhana ila nimfatiliaji mzuri tu.
Jamani Tanesco wako poa sana hasa wale wanaofanya kazi kwenye plants kama kidatu, MTERA , hare n.k, pia kila baada ya miaka 10 mtumishi anapewa cement kwa ajili ya ujenz mifuko kibao tu au unapewa thamana ya pesa , tena baada ya kutimiza hiyo kumi ....Kitano ijayo unapewa zawadi kubwa tu au kiasi cha pesa sio chini ya milioni 5 .....hii ya miaka 5 inakuwa mwendelezo Hadi unapostaafu.
 
Jamani Mimi nataka kujua mshahara wa assistant lecture?? Basic gross ngapi na take omu unabaki. Ngapi
Hiyo sina uhakika na mshahara wake, ila ninachojua kuwa inategemea na chuo unachoenda kufundisha kutokana na salary scale wanazoplan wao.
 
Jamani Tanesco wako poa sana hasa wale wanaofanya kazi kwenye plants kama kidatu, MTERA , hare n.k, pia kila baada ya miaka 10 mtumishi anapewa cement kwa ajili ya ujenz mifuko kibao tu au unapewa thamana ya pesa , tena baada ya kutimiza hiyo kumi ....Kitano ijayo unapewa zawadi kubwa tu au kiasi cha pesa sio chini ya milioni 5 .....hii ya miaka 5 inakuwa mwendelezo Hadi unapostaafu.
Nawazee wa Sub/Transmission jamaa wanakula Safari kama hawana akili nzuri naskia.
 
Kwenye mada hii kuna chumvi nyingi sana; ukipata kazi ya kudumu kwa hizi taasisi sehemu sahihi na penye tulizo ya afya ni EWURA; ROADFUND; CAG OFFICE na kidogo TANROAD..huko sijui TANESCO sijui TPA ni kujazana tu stori za kijiweni. Nilishazunguka huko.kote kwa hizo stori nikajikuta nqbaki kushangaa tu maneno ya watu.
Tanroads scale salary.hizi zinakua na maana gan ya
1.7, 2.1
 
Back
Top Bottom