Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Yaah unafanya miezi miwili, ule mwezi wa 3 mzigo unaingia wa miezi mitatu yote.Fanya kz miezi mitatu then ndo tukulipe au vipi mwana
Haba na haba mkuuIkiwa mshahara wa mwezi 1 mtu akipokea ndani ya wiki hana hata mia je miezi 3 watu si watakufa njaa?
Utofauti wa Boom na mshahara ni mkubwa, boom waliona Kama ni pesa za bure bure, lakini mshahara unausotea mkuuKwq bong9 sidhani. Kama watu walishindwa manage ma boom yao kwa miezi miwili then baada ya ajira yaleyale si yameendelea
Hela ni ileile mkuu ni noti zilezile. Issue ni kuwa hatuna money management. Wengi wanajisahau na hata malezi yetu hayakazii kuhusu nidhamu ya pesa toka udogoni matokeo ndio hayo.Utofauti wa Boom na mshahara ni mkubwa, boom waliona Kama ni pesa za bure bure, lakini mshahara unausotea mkuu
Nakwambia waulize wale wastaafu ndiyo utapata jibu zuriHaba na haba mkuu
Hapo ndipo pakujifunzia management za maisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utofauti wa Boom na mshahara ni mkubwa, boom waliona Kama ni pesa za bure bure, lakini mshahara unausotea mkuu
Kama unaweza kufanya kazi katika makampuni kwa mkataba wa miezi sita na ukalipwa hela ya miezi sita na bado kazi ikafanyika Bila tatizo la money management, why serikalini ishindikane?Hela ni ileile mkuu ni noti zilezile. Issue ni kuwa hatuna money management. Wengi wanajisahau na hata malezi yetu hayakazii kuhusu nidhamu ya pesa toka udogoni matokeo ndio hayo.
Tazama pia waliofanyia mambo ya maana kupitia boom Hilo hiloHapo ndipo pakujifunzia management za maisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Waliona ni hela ya bure lkn madhara si wanayaona pale makato kufidia mikopo ya elimu yanapoathiri mishahara. Kwa mtu mwny nidhamu ya pesa kupewa hyo hela ya mkupuo kama unavoshauri n8 bingo sana kwani ataitumia vzr hata kuzalisha nyingne.Utofauti wa Boom na mshahara ni mkubwa, boom waliona Kama ni pesa za bure bure, lakini mshahara unausotea mkuu
Ukiwaweka watu kumi, uwape laki 8 Kila mwezi. Wapo ndani ya wiki wataokuwa wamemaliza, pia wapo ndani ya mwezi watakaokuwa hawajamaliza, Matumizi ya pesa ni akili yako tu.Waliona ni hela ya bure lkn madhara si wanayaona pale makato kufidia mikopo ya elimu yanapoathiri mishahara. Kwa mtu mwny nidhamu ya pesa kupewa hyo hela ya mkupuo kama unavoshauri n8 bingo sana kwani ataitumia vzr hata kuzalisha nyingne. Ila nikiungana na mtoa mada mmoja aliyesema kama wa mwezi kama siku kadhaa tu kwisha je wa miezi mitatu.?kiufupi kwa Bongo sidhani.
Nadhani time limit ndio hushtua watu ila ajira serikalini jusahaulisha watu kujiandaa. Kazi za miakataba wakati mwngne ni chachu ya maendeleoKama unaweza kufanya kazi katika makampuni kwa mkataba wa miezi sita na ukalipwa hela ya miezi sita na bado kazi ikafanyika Bila tatizo la money management, why serikalini ishindikane?
Ndiyo hao sasa walipe miezi 3 ya mshahara, nilikuwa namuona kijana mmoja boom likitoka wiki nikama mwezi hana kitu anaanza kula kwa wenzie sipati pic akianza kupata mshaharaTazama pia waliofanyia mambo ya maana kupitia boom Hilo hilo
Wako wachache kusemea ukweli tena hasahasa hawa waliollingia vyuoni kipind huki wakijua hali halisi ya ajiraTazama pia waliofanyia mambo ya maana kupitia boom Hilo hilo
Upo sawia Sana, kamfumo haka ni kazuri Kama unahitaji wafanyakazi wako wapate maendeleo, hakuna mafanikio ya njia rahisiNadhani time limit ndio hushtua watu ila ajira serikalini jusahaulisha watu kujiandaa. Kazi za miakataba wakati mwngne ni chachu ya maendeleo
Ndio mkuu umenena ukweli.Ukiwaweka watu kumi, uwape laki 8 Kila mwezi.. wapo ndani ya wiki wataokuwa wamemaliza, pia wapo ndani ya mwezi watakaokuwa hawajamaliza, Matumizi ya pesa ni akili yako tu