Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
- Thread starter
-
- #21
Wapo wenye madeni na wasio na madeni, pia wenye madeni itawasaidia kukopesheka Tena pindi watapomaliza madeni yao kwa mkupuo, wasio na madeni wataendelea kuboresha vyanzo vya kuwaongezea kipatoMtumishi gani anaweza kusubiri siku 90, Ndipo apokee mshahara wake ? Kama wapo ni wachache sana.akiupokea huo mshahara siku chache mbelenj hana ata mia maana madeni kibao mtaani.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ndo hali nayoiona mimi pia baadhi ya marafiki zangu hapa chuoNdiyo hao sasa walipe miezi 3 ya mshahara, nilikuwa namuona kijana mmoja boom likitoka wiki nikama mwezi hana kitu anaanza kula kwa wenzie sipati pic akianza kupata mshahara
Hii pia ni sahihi. Ila pia itafanya kazi kwa wale waliochukua strategic loans only.Wapo wenye madeni na wasio na madeni, pia wenye madeni itawasaidia kukopesheka Tena pindi watapomaliza madeni yao kwa mkupuo, wasio na madeni wataendelea kuboresha vyanzo vya kuwaongezea kipato
Kweli mkuuHii pia ni sahihi. Ila pia itafanya kazi kwa wale waliochukua strategic loans only.
Kwann Kila wiki mkuuImamaana ufanye kazi miezi mitatu ndiyo ulipwe? Hapana kabisa. Bora ilipwe kila wiki.
Rais wa malofa tuambie kwanini wanalipana kwa wikiWazungu wanalipana kwa wiki nyie mnataka tulipwe kwa miezi mitatu. Hii akili ya wapi mzee?
Nchi nyingi wanalipana kwa wiki. Pia hili linapunguza ukali wa maisha.Kwann Kila wiki mkuu
Sasa mkuu tumtazame anaelipwa kima cha chini cha mshahara, 250,000/=Nchi nyingi wanalipana kwa wiki. Pia hili linapunguza ukali wa maisha.
Sasa hao hata wakianza kazi na kupokea mishahara ni hivyo hivyo kwani mafisadi wanatoka wapi ndiyo hao hao wasio jua matumizi mazuriNdo hali nayoiona mimi pia baadhi ya marafiki zangu hapa chuo
Nb niko chuo kwa sasa.
Kweli mkuuSasa hao hata wakianza kazi na kipokea mishahara ni hivyo hivyo kwani mafisadi wanatoka wapi ndiyo hao hao wasio jua matumizi mazuri
Ndio kuna mwenzangu hapa ananambia yeye (akishapata kazi) chap anaomba mkopo wa mil 45 dah nikajisemea huyu si anataka kuwa mtumwa wa mkopo milele ila nilitaka kumuambia ila ni mbishi saaana nikamuacha.Sasa hao hata wakianza kazi na kipokea mishahara ni hivyo hivyo kwani mafisadi wanatoka wapi ndiyo hao hao wasio jua matumizi mazuri
Lakini hiyo miezi mitatu inayofuata ataishije, si mwisho wa siku atakuwa analala njaa na kula rushwa? Mshahara ni kukufanya uweze kuishi bila taabu huku ukifanya kazi zako vizuri. Tukienda kwenye extremeties. Maana yake kwa point yako mtu akilipwa kwa mwaka ni bora zaidi. Wakati kwa point yangu mtu akilipwa kwa siku ni bora zaidi. Unaona inafaa kulipwa kwa mwaka?Sasa mkuu tumtazame anaelipwa kima cha chini cha mshahara, 250,000/=
Inamaana Kila wiki apokee 51,500/=?
Hapo atunze ili ifikie 400,000/= ya kumlipia Ada mwanae inabidi asubirie wiki ngapi?
Wakati huo angelipwa kwa mlimbikizo angepokea 750,000/=
Angetatua changamoto za ujumla
Anajua atakuwa analipwa mshahara kiasi gani!?Ndio kuna mwenzangu hapa ananambia yeye (akishapata kazi) chap anaomba mkopo wa mil 45 dah nikajisemea huyu si anataka kuwa mtumwa wa mkopo milele ila nilitaka kumuambia ila ni mbishi saaana nikamuacha.
Sasa akipata sehemu yenye mpenyo ndiyo kuiba haswa kufisadi haswaaaNdio kuna mwenzangu hapa ananambia yeye (akishapata kazi) chap anaomba mkopo wa mil 45 dah nikajisemea huyu si anataka kuwa mtumwa wa mkopo milele ila nilitaka kumuambia ila ni mbishi saaana nikamuacha.
Kwa miezi mitatu ni afueni.Lakini hiyo miezi mitatu inayofuata ataishije, si mwisho wa siku atakuwa analala njaa na kula rushwa? Mshahara ni kukufanya uweze kuishi bila taabu huku ukifanya kazi zako vizuri. Tukienda kwenye extremeties. Maana yake kwa point yako mtu akilipwa kwa mwaka ni bora zaidi. Wakati kwa point yangu mtu akilipwa kwa siku ni bora zaidi. Unaona inafaa kulipwa kwa mwaka?