chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Fanya kazi usiende Bank miezi 3 utakuta accumulated salary ya miezi 3, tusichoshwe nanyi watoto hapa JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo chuo ganiNdo hali nayoiona mimi pia baadhi ya marafiki zangu hapa chuo
Nb niko chuo kwa sasa.
Saut malimbe hapaupo chuo gani
By the way alikuwa anaonesha anataka mafanikio ya haraka sana. So nilikuja kujua kuwa hata kabla hujakopa fikiria. Sio kukopa kopa tuAnajua atakuwa analipwa mshahara kiasi gani!?
Hivi sbb unajua tu ku type online, mtu hata ukiwaza ujinga unaandika tu
Niambie matumizi ya pesa kwa mfano huu..Nadhani time limit ndio hushtua watu ila ajira serikalini jusahaulisha watu kujiandaa. Kazi za miakataba wakati mwngne ni chachu ya maendeleo
Hold on,Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi.
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1.
January ml 1
February ml 1
March ml 1
Hivyo mshahara wa March unaingia full digits milioni 3.
Hii ni njia Bora ya kuwasaidia wenye kipato kidogo cha mishahara kuweza kufanya mambo ya akiba kwa wepesi.
Ahsanteni na karibuni katika mjadala.
Ni uhuru wa mawazoHabari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi.
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1.
January ml 1
February ml 1
March ml 1
Hivyo mshahara wa March unaingia full digits milioni 3.
Hii ni njia Bora ya kuwasaidia wenye kipato kidogo cha mishahara kuweza kufanya mambo ya akiba kwa wepesi.
Ahsanteni na karibuni katika mjadala.
Wewe uikopeshe serikaliHold on,
Katika hii miezi mitatu nani amkope au adaiwe na mwenzake?
[emoji3581]Ni uhuru wa mawazo
Lakini suala la mshahara kukaa kwa miezi mitatu ni changamoto mkuu
Kwa watu wengi mishahara huwa unadumu kwa wiki moja na baada ya hapo ni kuganga siku tu
Lakini morali ya kazi itashuka mtu anapomaliza mshahara ndani ya wiki mbili au mwezi maisha baada ya hapo yatakuwa magumu sana watu watakata tamaa ya kufanya kazi
Mimi nafkiri tofauti na wewe badala ya watu kupokea mshahara kwa mwezi watu wapokee kwa wiki hiyo milioni igawanywe kwa nne laki mbili na nusu kila wiki maisha yatakuwa rahisi sana pesa itakuwa na mzunguko mkubwa sana
Mtu akifanya kazi Jumatatu jumanne Jumatano anauona mshahara huu apa karibu anakuwa na nguvu ya kazi kila siku
Hata kibajeti ya matumizi inakuwa rahisi
Bumu ndio kitu gani hicho mkuu?Akili za BUMU
Ukisimama kukimbia, Soma Tena nilichoandika ndio ujibu
Kuna watu wataua watotoKwann
wapi nimeandika sipo town na sijui maishaNjoo town tukufundishe bajeti ya maisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wataua watoto