Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Hata Boom wanalipa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini yanayolipikaUnataka uwaue watu kwa madeni ww mtoa mada
Kama maboom ya watoto wa chuo yanavyotokalkn mishahara mtalipwa mapema tu kila trh 20 ya mwisho wa mwezi. inatpsha.
sema hazina wanatakiwa watoe mikopo bila Riba ila tatizo wafanyakazi wanatakiwa wawe masikini.
Iwe Kama sheria au kutegemea na Hali ya uchumi?Mi nashauri wafanye Kama afrika kusini
Yaani mwezi desemba wote wafanykazi qa serikali wapate double salary
Mfano Kama mshahara wako Ni laki 1 Basi desemba utapewa laki2 why!?
Mwezi huo desemba matumizi Ni mengi sana sikukua kibao ,sherehe,Ada na kodi za mapango zinalipwa mwanzoni kabisa mwa mwezi hii inawafanya watu wengi waishi kindezi januari
Yaani Rais atayepitisha hii kitu "tutam-mcement"(kwa sauti ya mwendazake) mioyoni mwetu[emoji1]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ulaya wachezaji wanalipwa kwa wiki, kwanini?Kwann Kila wiki mkuu
Kama una uwezo wa kukaa miezi mitatu bila mshahara Basi hizo 250k ziweke Hadi zifike 750kSasa mkuu tumtazame anaelipwa kima cha chini cha mshahara, 250,000/=
Inamaana Kila wiki apokee 51,500/=?
Hapo atunze ili ifikie 400,000/= ya kumlipia Ada mwanae inabidi asubirie wiki ngapi?
Wakati huo angelipwa kwa mlimbikizo angepokea 750,000/=
Angetatua changamoto za ujumla
Huo hautokuwa mfumoKama una uwezo wa kukaa miezi mitatu bila mshahara Basi hizo 250k ziweke Hadi zifike 750k
Shida iko wapi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
HahaahaaaaaIkiwa mshahara wa mwezi 1 mtu akipokea ndani ya wiki hana hata mia je miezi 3 watu si watakufa njaa?
Sema hata wewe sahizi akiba yako ngapi!Hahaahaaaaa
Bora ilipwe mara moja kwa mwaka....hapo unakusanya 12m unasepa mpaka mwakani....imekaaje wadau?Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi.
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1.
January ml 1
February ml 1
March ml 1
Hivyo mshahara wa March unaingia full digits milioni 3.
Hii ni njia Bora ya kuwasaidia wenye kipato kidogo cha mishahara kuweza kufanya mambo ya akiba kwa wepesi.
Ahsanteni na karibuni katika mjadala.