Mishahara ilipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu mitatu


Wakati tunataka wabadili ili watu walipwe kwa wiki ,mambo ya kusubiri mwezi mzima ni shida....wawe wanalipa on weekly basis...kama take home 1m basi kila ijumaa unakunja 250K.
 
Utakuwa wewe ni mwizi,fisadi au mla rushwa na nadhani unafanya kazi mambo ya ndani kama askari wa usalama barabarani,au mahakamani,au TRA.

Hakuna mtumishi mwaminifu anayepata muda wa kuwaza upuuzi kama huu.

Kama unataka pesa kwa mkupuo,usiende kuchukua mshahara benki hadi miezi hiyo mitatu,siyo kupendekeza vitu vya kijinga namna hii
 
Ukiwaweka watu kumi, uwape laki 8 Kila mwezi. Wapo ndani ya wiki wataokuwa wamemaliza, pia wapo ndani ya mwezi watakaokuwa hawajamaliza, Matumizi ya pesa ni akili yako tu.

Waache masikhara fedha ina matumizi makubwa sana ,ni rahisi kwa mfanyakazi kvumilia siku 20 hadi apate mishahara mwingine kuliko kuvumilia siku 80 = 20+30+30.

Hii ya mwezi kwa mwezi tu akipata mshahara tarehe 25 mpaka tarehe 2 hana hata 100.
 
Bora mshahara ulipwe kila wiki au kila baada ya wiki mbiliii.......hapo maendeleo yangefanyika.......kama unapokea laki 8 kila wiki unavhukua laki mbili zako
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naona unahasira kweli, huyo anataka watu wakope kwa mangi siku mshahara ukitoka robo tatu uishie hapo

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Matatizo au mahitaji ya mwanadamu hayana muda wa kusubiri. Yapo kila siku. Kukaa miezi kadhaa bila kipato, ukijapokea, hutafanya lolote la maendeleo bali kulipa madeni.
 
Matatizo au mahitaji ya mwanadamu hayana muda wa kusubiri. Yapo kila siku. Kukaa miezi kadhaa bila kipato, ukijapokea, hutafanya lolote la maendeleo bali kulipa madeni.
Bora sheria ipitishwe ya Kila wiki mbili kupokea mzigo
 
Ingia mkataba na benki wawe wanakukata wakwako mwenyewe kwa malimbikizo.
 
Haina shida, we fanya kazi kwa miezi mitatu halafu tukulipr mshahara wa miezi mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…