Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi.
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1.
January ml 1
February ml 1
March ml 1
Hivyo mshahara wa March unaingia full digits milioni 3.
Hii ni njia Bora ya kuwasaidia wenye kipato kidogo cha mishahara kuweza kufanya mambo ya akiba kwa wepesi.
Ahsanteni na karibuni katika mjadala.

Ukiwaweka watu kumi, uwape laki 8 Kila mwezi. Wapo ndani ya wiki wataokuwa wamemaliza, pia wapo ndani ya mwezi watakaokuwa hawajamaliza, Matumizi ya pesa ni akili yako tu.
Iwe Kama sheriaIwe Kama sheria au kutegemea na Hali ya uchumi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naona unahasira kweli, huyo anataka watu wakope kwa mangi siku mshahara ukitoka robo tatu uishie hapoUtakuwa wewe ni mwizi,fisadi au mla rushwa na nadhani unafanya kazi mambo ya ndani kama askari wa usalama barabarani,au mahakamani,au TRA.
Hakuna mtumishi mwaminifu anayepata muda wa kuwaza upuuzi kama huu.
Kama unataka pesa kwa mkupuo,usiende kuchukua mshahara benki hadi miezi hiyo mitatu,siyo kupendekeza vitu vya kijinga namna hii
Matatizo au mahitaji ya mwanadamu hayana muda wa kusubiri. Yapo kila siku. Kukaa miezi kadhaa bila kipato, ukijapokea, hutafanya lolote la maendeleo bali kulipa madeni.Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi.
Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu,
Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1.
January ml 1
February ml 1
March ml 1
Hivyo mshahara wa March unaingia full digits milioni 3.
Hii ni njia Bora ya kuwasaidia wenye kipato kidogo cha mishahara kuweza kufanya mambo ya akiba kwa wepesi.
Ahsanteni na karibuni katika mjadala.
Bora sheria ipitishwe ya Kila wiki mbili kupokea mzigoMatatizo au mahitaji ya mwanadamu hayana muda wa kusubiri. Yapo kila siku. Kukaa miezi kadhaa bila kipato, ukijapokea, hutafanya lolote la maendeleo bali kulipa madeni.
Imekaa poa SanaBora mshahara ulipwe kila wiki au kila baada ya wiki mbiliii.......hapo maendeleo yangefanyika.......kama unapokea laki 8 kila wiki unavhukua laki mbili zako
Upo ndani ya ukweliWaache masikhara fedha ina matumizi makubwa sana ,ni rahisi kwa mfanyakazi kvumilia siku 20 hadi apate mishahara mwingine kuliko kuvumilia siku 80 = 20+30+30.
Hii ya mwezi kwa mwezi tu akipata mshahara tarehe 25 mpaka tarehe 2 hana hata 100.
Ukiwaweka watu kumi, uwape laki 8 Kila mwezi. Wapo ndani ya wiki wataokuwa wamemaliza, pia wapo ndani ya mwezi watakaokuwa hawajamaliza, Matumizi ya pesa ni akili yako tu.