Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Status
Not open for further replies.

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.

UPDATES:

Habari hii imekanishwa. Zaidi soma:

Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Hela za kuwalipa mishahara zitatokawapi! wakati zinaelekezwa Zanzibar kupitia mikopo (Zanzibar inakopeshwa hela nyingi kuliko anavyostahili halafu mzigo wote wa marejesho unabebwa na Tanzania bara ama Tanganyika)
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Warumishi wa, umma,nchi nzima, kuanzia, Rais mpaka mwenyekiti wa kijiji, VEO,hawafiki milioni 7! Nchi, inawatu milioni 65!
Their problem is minor issue,
Kuna watu maisha magumu tangu wanazaliwa, hao watumishi wa umma, ni kwa muda tu,
Ila wengine ni mazwazwa! Mnakopesheka kwa, asilimia ndogo, 8%, kwanini hamkopi mkawekeza? Mnakopa mnanunua, vitz, ist!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom