Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Status
Not open for further replies.
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Tanzania under bi ushungi is fa
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Tanzania under bi ushungi is failed state.
 
Hiv.mnashindwaje kufunga karanga za mayai,kwenda na dumu la mtindi unawauzia staff wenzako,jufuga kuku je? Unashindwaje kufunga ice cream za ubuyu unapiga sh 100 za watoto,hivo vi ist mnavyokopa.unapakia ma hotpot ya chakula mchana unawauzia wenzio wizara nzima
 
Labda kuwauzia wanafunzi ila wafanyakazi wenzako ikifika tarehe 10 tu ni mwendo wa kukopwa
 
Dah... kweli CCM ipewe sifa kidogo 🤣 🤣 🤣 🤣 .... leo tar 23 watumishi wa umma wanalalamika mshahara kuchelewa... kuna kipindi mishahara ya serikali ilikuwa inatoka tar 5
 
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Yaani nyie watumishi njaa huwa nashindwa kabisa kuwaelewa, hamnabuvumilivu kabisaaa ndio matatizo ya kuishi kwa kutegemea mshahara hayo
 
Warumishi wa, umma,nchi nzima, kuanzia, Rais mpaka mwenyekiti wa kijiji, VEO,hawafiki milioni 7! Nchi, inawatu milioni 65!
Their problem is minor issue,
Kuna watu maisha magumu tangu wanazaliwa, hao watumishi wa umma, ni kwa muda tu,
Ila wengine ni mazwazwa! Mnakopesheka kwa, asilimia ndogo, 8%, kwanini hamkopi mkawekeza? Mnakopa mnanunua, vitz, ist!
Watumishi wote wa Tanganyika hawafiki milioni moja.
Wapo kama laki Sita au Saba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom