mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Tujifunge mikanda..Hali ya uchumi duniani kote si nzuri..
Prof Mwigulu na Prof Mkumbo..Pambaneni kujenga uchumi imara ili nchi iweze kujitegemea toka ktk makucha ya wafadhiri na wakopeshaji..
Tupunguze matumizi yasio ya lazima..Tupunguze mishahara ya wanasiasa..Tupunguze taasisi zenye majukumu yanayoshabihiana mfano (TIC,TANRADE,BRELA,EPZA,TIRDO,SIDO,etc)..
Mh Mtukufu Rais apunguze ukubwa wa Baraza la Mawaziri mfano tuwe na
1:Wizara ya Fedha,Mipango,Uwekezaji na Maendeleo ya Uchumi
2:Wizara ya Usalama,Ulinzi na Mambo ya Ndani
3:Wizara ya Miundombinu,Uchukuzi,na Usafirishaji (Maji,Barabara,Umeme,Bandari,Airport)
4:Wizara ya Natural Resources (Madini,Oil and Gas,Misitu,Vivutio vya Utalii,Etc)
5:Wizara ya Haki,Katiba,Sheria,Utawala Bora,Maadili na Uadirifu
Wizara ya Elimu Bora,Sayansi Za Lisasi,Ubunifu,Ufahamu na Ufundi Stadi
Etc