Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Status
Not open for further replies.
Wanerekebisha mishahara kwa watumishi,walimu Kuna mserereko wa Madaraja unaandaliwa,vuta subira mzigo unakuja wakutosha!
Hilo zoezi la kurekebisha walikuwa hawalijui miezi yote iliyopita mpaka wasumbue watu tarehe za mwisho
 
Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024​

Attachments

  • 5751372-e12ee424e76458c1d08f66e7cc3aa0bb.mp4
    4.7 MB
Wanerekebisha mishahara kwa watumishi,walimu Kuna mserereko wa Madaraja unaandaliwa,vuta subira mzigo unakuja wakutosha!
Na wafanyabiashara je, mbona hawalipwi?? Wakirusha zinagota huko benki kuu.
 
Habari za mchana,
Nimeona nifungue huu uzi ili kupashana habari ya kuingia kwa mishahara kwa watumishi wa umma ifikapo kila mwisho wa mwezi. Nimeona kuna uzi Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa? watu wanaulizia mishahara lakini kichwa chake cha habari hakiendani na shauku za watu.

Hivyo karibuni tufahamishane kila mwisho wa mwezi kuhusu kupata na kuingia mishahara kwa watumishi wa umma.
 
Kwanini unatutenga tusio watumishi wa umma,kwani nasihatuhitaji taarifa🫠
 
Habari za mchana,
Nimeona nifungue huu uzi ili kupashana habari ya kuingia kwa mishahara kwa watumishi wa umma ifikapo kila mwisho wa mwezi. Nimeona kuna uzi Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa? watu wanaulizia mishahara lakini kichwa chake cha habari hakiendani na shauku za watu.

Hivyo karibuni tufahamishane kila mwisho wa mwezi kuhusu kupata na kuingia mishahara kwa watumishi wa umma.
Li nchi hili limefilisika. PSSSF wanalipaga tarehe 23, leo tarehe 24 hawajalipa. Imefilisika kama alivyosema samia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom