Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Status
Not open for further replies.
Malipo n hapa hapa duniani [emoji28][emoji28][emoji28] nyie watumishi tukijaga Kwenye hzo ofc za serikali mnatupaga pia huduma Kwa kuchelewa.......hasa watumishi wanaofanya NIDA pale ikiwezekana wasilipwe hata miezi mitatuu [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii Dunia inashangaza sana. Kwa mfano mshahara ukitoka tu utasikia Mwashambwa anamsifia mama Samia, utamsikia MAMA SAMIA ANAWAJALI SANA WATUMISHI AMEWAPA MISHAHARA YAO. TUNAMPONGEZA MAMA SAMIA AMETOA PESA
Nyie ndio mnamuendekeza huyo kumtaja kila mara so anaona keshakuwa maarufu humu JF ndio maana anaandika ushuzi humu. Huyo ilitakiwa awe ignored. Binafsi nilishanuignore huyo jamaa.
 
Malipo n hapa hapa duniani 😅😅😅 nyie watumishi tukijaga Kwenye hzo ofc za serikali mnatupaga pia huduma Kwa kuchelewa.......hasa watumishi wanaofanya NIDA pale ikiwezekana wasilipwe hata miezi mitatuu 😅😅😅
Hahaaaa
 
[emoji91]
Screenshot_20240624-165709.jpeg
 
Hiv.mnashindwaje kufunga karanga za mayai,kwenda na dumu la mtindi unawauzia staff wenzako,jufuga kuku je? Unashindwaje kufunga ice cream za ubuyu unapiga sh 100 za watoto,hivo vi ist mnavyokopa.unapakia ma hotpot ya chakula mchana unawauzia wenzio wizara nzima
nadhani hapo unazungumzia kada zote isipokuwa afya maana huku huo muda sijui unautoa wapi, ukiianzisha mradi utakufa tu kama hausimamii mwenyewe maana unakuwa busy htr
 
CHAWA wameongezeka Sana nchi hii, ukumbuke CHAWA wapo kwenye payroll, wanaanza kulipwa wakina mwijaku, babalevo, Lucas na wengine, Kisha wewe mfanyakaz wa umma utafuata
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Wanafunga mwaka.....huwa inachelewa hivi kial mwaka
 
Tujifunge mikanda..Hali ya uchumi duniani kote si nzuri..

Prof Mwigulu na Prof Mkumbo..Pambaneni kujenga uchumi imara ili nchi iweze kujitegemea toka ktk makucha ya wafadhiri na wakopeshaji..

Tupunguze matumizi yasio ya lazima..Tupunguze mishahara ya wanasiasa..Tupunguze taasisi zenye majukumu yanayoshabihiana mfano (TIC,TANRADE,BRELA,EPZA,TIRDO,SIDO,etc)..

Mh Mtukufu Rais apunguze ukubwa wa Baraza la Mawaziri mfano tuwe na

1:Wizara ya Fedha,Mipango,Uwekezaji na Maendeleo ya Uchumi

2:Wizara ya Usalama,Ulinzi na Mambo ya Ndani

3:Wizara ya Miundombinu,Uchukuzi,na Usafirishaji (Maji,Barabara,Umeme,Bandari,Airport)

4:Wizara ya Natural Resources (Madini,Oil and Gas,Misitu,Vivutio vya Utalii,Etc)

5:Wizara ya Haki,Katiba,Sheria,Utawala Bora,Maadili na Uadirifu

Wizara ya Elimu Bora,Sayansi Za Lisasi,Ubunifu,Ufahamu na Ufundi Stadi

Etc
Hiyo kubananisha namna hiyo kwasababu gani mkuu??
Acha vingine havihitaji kua wizara moja, utendaji utasuasua sana.
 
Kama una zaidi ya mwaka kazini na hii kucheleweshewa mshahara siku kadhaa tu tayari mlo wako umekua wa mashaka, aisee jitafakari na ujitathmini vilivyo hapa duniani unafanya nini.
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Mmh.....mbona bado mapema hii.
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
PEPMIS mmejaza ipasavyo? No accountability no rights.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom