Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefanyaje?Watumishi bwana
Kumbe naafuu kwa sisi wa binafsi🤗.Basi hamieni huku.Watu wanakopa Hadi ATM card zinawekwa rehani hivyo huduma za mobile bank zinakuwa blocked Hela ikiingia lazima ujipeleke mwenyew machinjioni baada ya kupewa taarifa na watu ndio upewe chako. Tembea uyaone so sad poor civil severnts
AhahaaaaZanzibar wamelipwa tokea tarehe 13 June kwa sababu ya sikukuu
Warumishi wa, umma,nchi nzima, kuanzia, Rais mpaka mwenyekiti wa kijiji, VEO,hawafiki milioni 7! Nchi, inawatu milioni 65!
Their problem is minor issue,
Kuna watu maisha magumu tangu wanazaliwa, hao watumishi wa umma, ni kwa muda tu,
Ila wengine ni mazwazwa! Mnakopesheka kwa, asilimia ndogo, 8%, kwanini hamkopi mkawekeza? Mnakopa mnanunua, vitz, ist!
Wakanunue nini wakati wafanyabishara wamegoma wacha serikali ikae na hela zake huko uliko. Mgome na nanyi wa mabasi pia si mmegeuza nchi hii yenu pekee yenu na ninyi ndio muhimu. Tulidishe maduka ya mitaa, vijiji na kitongojiKuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Kuwekeza sio kupataWarumishi wa, umma,nchi nzima, kuanzia, Rais mpaka mwenyekiti wa kijiji, VEO,hawafiki milioni 7! Nchi, inawatu milioni 65!
Their problem is minor issue,
Kuna watu maisha magumu tangu wanazaliwa, hao watumishi wa umma, ni kwa muda tu,
Ila wengine ni mazwazwa! Mnakopesheka kwa, asilimia ndogo, 8%, kwanini hamkopi mkawekeza? Mnakopa mnanunua, vitz, ist!
Yaani nyie watumishi njaa huwa nashindwa kabisa kuwaelewa, hamnabuvumilivu kabisaaa ndio matatizo ya kuishi kwa kutegemea mshahara hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningekuwa mimi ndo hao watumishi wa umma, ningeashaandika barua ya kuacha kazi kitambo sana [emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zanzibar wamelipwa tokea tarehe 13 June kwa sababu ya sikukuu
😃😃 solution hapo ni hiyo, unaandika tu barua ya kuacha kazi, halafu unaachana nao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kila mtu akifanya hivyo, nani atakua mnunuzi?Hiv.mnashindwaje kufunga karanga za mayai,kwenda na dumu la mtindi unawauzia staff wenzako,jufuga kuku je? Unashindwaje kufunga ice cream za ubuyu unapiga sh 100 za watoto,hivo vi ist mnavyokopa.unapakia ma hotpot ya chakula mchana unawauzia wenzio wizara nzima
Kumekuchaaaaa!!!Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.