Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Status
Not open for further replies.
Hiv.mnashindwaje kufunga karanga za mayai,kwenda na dumu la mtindi unawauzia staff wenzako,jufuga kuku je? Unashindwaje kufunga ice cream za ubuyu unapiga sh 100 za watoto,hivo vi ist mnavyokopa.unapakia ma hotpot ya chakula mchana unawauzia wenzio wizara nzima
Wamekusikia kubwa jinga.
 
Wewe unauza nini?kwa akili yako unahisi watumishi wa umma ni walimu tu?punguzeni kujifanya mnajua unaweza kuwa unavimba hapa Kumbe we mwnyw shoga tu sometime muwe mnavunga yasiyowahusu maku wewe
 
Poleni sana wananchi, Serikali inaweka mazingira rafiki kuepusha hali hii isijirudie tena tunaomba uvumilivu wenu ili tupate nasi nguvu ya kutenda maono ya Mhe Rais na 4R na kuhakikisha mshahara mwisho wa mwezi huu uwafikie wote kwa pamoja.. CCM oyee wafanyakazi Oyee
Solidarity forever 😭 😭 😭 😭 😭....... solidarity ya nyokwe ...Bado yani mpaka tuseme.....
 
Niliwahi kusoma mahali nadhani ni NBS zamani sana wakisema watumishi wa umma ni 8 percent ya working population na kila mwaka wanaongezwa 2 percent. Sidhani wanafika 7m, hao ni wengi mno!!
Wapi 2.5ml
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Wewe lazima utakuwa Mwalimu maana mnaishi maisha ya hovyo sana
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Mwezi haujaisha my sister
 
Kesho sehemu kubwa ya mgomo wa wafanya biashara, mtasababisha watumishi wa umma,waingie kwenye huo mgomo.
We Dada ni mchochezi wa kiwango cha juu na ni tishio kwa jamii iliyo na ustaarabu.
 
Hawa wanafanya vikao vya njaa,bila malipo bila nauli,bila ajira.
Mnafanya Kila kitu siasa.
 
Attachments

  • IMG-20240623-WA0052.jpg
    IMG-20240623-WA0052.jpg
    160 KB · Views: 1
Umeajiriwa lini?

Maana kimkataba mshahara ubatakiwa kulipwa mwisho ww mwezi

Utalipwa by mwisho wa mwezi
Kuliko kumuuliza umeajiriwa wewe ndio ungjiuliza una ujinga kiasi gani lini .... Mishahara tangu awamu ya Tano IMEINGIZA ni tarehe 21-23.... Imeshatoka kila Mwezi...kipindi Cha awamu ya .... Kipindi Cha awamu ya nne ilikuwa 25-28 imeshatoka... Haya Mimi nipo kazini mwaka wa 15 .msingi ni mzunguko usio zaidi ya siku 31...una swali lingine!??
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Leo tarehe 24, Jana ni jumapili ambayo ni tarehe 23 halafu unasema mshahara umechelewa? Tofauti ya siku Moja au mbili unasema mshahara unachelewa? Hii nchi kuiongoza ni kazi ngumu sana
 
Mei mosi zote katika utawala wa Shujaa Jpm zilinifanya nione uadui ulipo kati ya watumishi wa umma na wanananchi walio nje ya utumishi wa umma.
Watu walifurahia sana misimamo ya Shujaa kutokuongeza chochote Kwa watumishi wa umma.
Sasa linapokuja jambo kama hili la malalamiko ya mshahara kuchelewa sidhani kama mtoa mada atapata kauli nzuri za kumuunga mkono.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom