Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Status
Not open for further replies.
Kwanini mishahara na pensheni ilazimishwe kulipwa kupitia NMB? Si waachiwe wenyewe wajichagulie benki. Halafu mnasema eti tuna soko huria!! Eti NMB ni namba wani !!! Hii ni monopoly
 
Watumishi wa umma wapo Laki 5
Warumishi wa, umma,nchi nzima, kuanzia, Rais mpaka mwenyekiti wa kijiji, VEO,hawafiki milioni 7! Nchi, inawatu milioni 65!
Their problem is minor issue,
Kuna watu maisha magumu tangu wanazaliwa, hao watumishi wa umma, ni kwa muda tu,
Ila wengine ni mazwazwa! Mnakopesheka kwa, asilimia ndogo, 8%, kwanini hamkopi mkawekeza? Mnakopa mnanunua, vitz, is
 
Uzi wa kijinga serikali ishindwe kuwalipa hilo hapana
 
Kwanini mishahara na pensheni ilazimishwe kulipwa kupitia NMB? Si waachiwe wenyewe wajichagulie benki. Halafu mnasema eti tuna soko huria!! Eti NMB ni namba wani !!! Hii ni monopoly
Mi mbona napokea crdb? Sidhani kama ni lazima iwe NMB
 
Watu mnaolipwa mishahara sijui huwaga mna matatizo gani, ina maana hela ikichelewa hata siku moja maisha hayaendi?
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Bado mama ana ziara!! Vumilieni ule Mkopo wa Korea haujaiva!! Ukiiva tu mishahara inaingia
 
ezgif-3-b4c192341f.jpg
 
Kwanini mishahara na pensheni ilazimishwe kulipwa kupitia NMB? Si waachiwe wenyewe wajichagulie benki. Halafu mnasema eti tuna soko huria!! Eti NMB ni namba wani !!! Hii ni monopoly
Benki unachagua mwenyewe sio lazima NMB ila tu Kwa kuwa NMB IPO maeneo mengi vijijini watumishi wengi wanapendelea huko ila sio lazima huko.
 
Warumishi wa, umma,nchi nzima, kuanzia, Rais mpaka mwenyekiti wa kijiji, VEO,hawafiki milioni 7! Nchi, inawatu milioni 65!
Their problem is minor issue,
Kuna watu maisha magumu tangu wanazaliwa, hao watumishi wa umma, ni kwa muda tu,
Ila wengine ni mazwazwa! Mnakopesheka kwa, asilimia ndogo, 8%, kwanini hamkopi mkawekeza? Mnakopa mnanunua, vitz, ist!
Hawazidi milioni 2.5
 
Kwanini mishahara na pensheni ilazimishwe kulipwa kupitia NMB? Si waachiwe wenyewe wajichagulie benki. Halafu mnasema eti tuna soko huria!! Eti NMB ni namba wani !!! Hii ni monopoly
Nani kakulazimisha mkuu? ni hiari yako tu.
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Hata wazabuni wengi hawajalipwa
Wamechoka sana, muda utasema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom