Vipi Mkuu ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TULIAA TAREHEE BADOhabari zenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]habari zenu
wewe ni mwalimu?Tuufufue... Walimu wanakufa jamani.. ohoo
Hapana... uniombe radhi tafadhali.wewe ni mwalimu?
Wapi?Mkatoee helaa
Wewe ni msemaji wa waalimuHapana... uniombe radhi tafadhali.
KivipiMwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.
Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Ndio muda wakeHuu uzi umeanza ku- trend
Vipi huko kwako ushaingia?Ndio muda wake