Ningependa kujua tu Jeshini JWTZ kati ya Luteni mwenye (nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi huwa ni watu wazima wenye miaka mingi kazini nani ana mshahara mkubwa?
Sasa je, mishahara ya Jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha Askari? Karibuni kwa ufafanuzi
Sasa je, mishahara ya Jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha Askari? Karibuni kwa ufafanuzi