Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

Nenda kambi ya jeshi yoyote iliyopo karibu nawe kaulize na ili upate jibu la uhakika nenda moja kwa moja hadi kwa mkuu wa kambi...huyo atakupa majibu sahihi kabisa unayohitaji na tena anaweza kukupa na nyongeza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa haupe serious
 
Kuna Thread NYINGINE Ukikuta Na Fulani Kaweka Mawazo Yake Unajua Hapo Thread Imeharibika Hasa Bwana Mmoja Anajifanya Kila Kitu Anajua Sana.....
 
mkuu asante sanaaaa
hizi details ziliniumiza sana kichwa.
labda kuna manyongeza sasa..

Private alipwe laki tisa then bado afanye biashara ya kuuza madaftari kwa kuruta
 
Private alipwe laki tisa then bado afanye biashara ya kuuza madaftari kwa kuruta
Yote hiyo ni kuongeza kipato chake, kwani ukiwa na mshahara unakatazwa kufanya Biashara? Hiyo ilikuwa enzi za nyerere tu.
 
Nenda pale ngome kaulize maswali yako utajibiwa tena kwa mfano hai...
 
Wanaangalia idadi ya watoto ulionao na michepuko uliyonayo na unakaa umbali gani na Dodoma
 
Hapana mkuu umeingia chaka, jeshi lina scale zao kwa ilivyo kwa walimu. Arrangement za scale ime-base kwenye
1: elimu
2: rank
3: proffesion
4: uzoefu
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaweza ku-display hizo scale hapa ila unaweza kukuta wanajeshi let say wa3 na wote ni ma-colonel lakini wanapishana mishahara.
Uko sawa kabisa na unaweza kuta wote ni makanali ila sasa kati hayo watatu alikuwa wakwanza kupewa cheo hicho ndio boss na ndie ataepigiwa saluti na wenzake japo vyeo wanafanana
 
Back
Top Bottom