Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Acheni kuzungumzia masuala msiyoyajua, mwenye kutaka kujua mshahara wa wanajeshi aingie ndani makambi akaone hiyo mirisasi na mibomu ya mbagala ndo usaminishe wanacholipya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kuzungumzia masuala msiyoyajua, mwenye kutaka kujua mshahara wa wanajeshi aingie ndani makambi akaone hiyo mirisasi na mibomu ya mbagala ndo usaminishe wanacholipya.
Mishahara inafatana na vyeo na pia miaka kwenye cheo chako mfano mtu alie kaa kweye ukapteni miaka mtano atakuwa na mshahara Zaidi kuliko yule wa mwaka mmoja
Hahahahah... Kwani kila muda risasi na mabomu vinatumika?
Amara za kazi gani sasa..
Sasa porojo hizi alieanzisha uzi amefikiria nini mpaka kufikia kupotosha watu jibu rahisi amuulize huyo huyo dem wake alie askari au afatilie na yeye aingie kwenye mchakato.
Na je, Afisa Mteule Daraja la pili (miaka mitano ya uzoefu ktk Cheo) na Luteni (miaka mitatu ya uzoefu kazini) nani anavuta parefu!?
Yule mwenye lisaa(korokoro) anaitwa Mteule wapo wa aina 2 daraja la kwanza na daraja la pili mshahara wao ni mkubwa kuliko huyo luten usu.
Jambo afande!
Mishahara inafatana na vyeo na pia miaka kwenye cheo chako mfano mtu alie kaa kweye ukapteni miaka mtano atakuwa na mshahara Zaidi kuliko yule wa mwaka mmoja
Naomba udadavuzi wa ration kwa anaejua maana yake..Kuna mshahara, ration na house allowance siku hizi
mkuu asante sanaaaaHawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.
Hiyo ni kam hela ya chakula na vinywajiNaomba udadavuzi wa ration kwa anaejua maana yake..
naona msimu wa Jeshi umewasili
Hiii ni complicat kidgoYap upo sawa kabisa .
Ukiacha hilo LA mshahara hata kwa mambo ya salute na heshima .
Mfano JUMA ni kapteni miaka 5 na john ni kapteni mwaka 2 sasa hapo JUMA bado atakuwa mkubwa kwa john pamoja na kwamba wanavyeo sawa but John lazima apige salute kea JUMA.
Wa kwanza kuingia kabla yako jeshi ni mkubwa kwako .
Wa kwanza kipandishwa cheo ni mkubwa kwako.
Jeshi tamu jamani.