Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

Huyo mwenye saa na kirungu sio warrant officer cheo chake nimesahau

Hujui kitu raia.!Mwenye saa anaitwa Warrant Officer na huwa wana madaraja mawili

Na hicho ndio top most rank kwa men..baada ya hapo wanaanza officers
 
Ningependa kujua tu jeshini JWTZ kati ya Luteni usu(nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na Yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi huwa ni watu wazima wenye miaka mingi kazini nani ana mshahara mkubwa? Je mishahara ya jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha askari?
Karibuni kwa ufafanuzi
Kwani huyo mchepuko wako Luteni Usu amekudanganya analipwa ngapi?
 
Hawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.

Acha upotoshaji. Kama jenerali ni milioni 6 kivipi mkuu wa majeshi mil 15 wakati yeye ni Jenerali pia. Halafu unasema brigedia mil 5 na luteni usu mil 4. Unafaham naana ya luteni usu kweli mkuu? Nadhani kati ya luteni usu na huyo brigedia kuna vyeo vitano au sita kama sikosei.
Natamani modes wangefuta huu uzi maana unapelekea majibu ya kichochezi. Nadhani hata kule bungeni hawa jamaa mambo yao huwa hayaanikwi sana.
"Pro Patria"
 
Watu Wengine Mnapenda KIKI Za Kitoto! Hivi Ukisema Hicho Unachotaka Kutuambia Nani ATAKUJUA Humu JF? Kuna Njemba Humu JF Zina Kazi Za Maana Na Kubwa Lakini Ikifikia Wakati Wa Kuwaponda Wakubwa Wao au Kutoa Taarifa Zao Wanatoa Kwa Raha Zao Na Wala Hawakamatwi au Kujulikana Nina Mashaka Kama Kweli Wewe Ni Mjeda Na Ya Huko Huyajui Vizuri.

Wewe huna maadili na hufai kuwa mtumishi
 
Mishahara ya jeshi wewe raia unahitaji ujue ili ikusaidie nini ndugu yangu ok kila mahali na hasa kwa watumishi wa umma hulipwa kulingana na muda aliokaa kazini
 
kuna waaovaa saa mkononi wanaitwa sir Meja....zipo saa za aina mbili saa ya kwanza inamwenge na saa ya pili inabibi na bwana.....huyu mwenye saa ya bibi na bwana ndio cheo cha mwisho kwa lever ya askari.....na hawa ndio huwa wakuu wa nidhamu katika kambi....wanamshara mkubwa kuliko hata Captain
Ahsante mkuu
 
mambo ya siri hayo mkuu. . .hata mkimuuliza mjeshi ataishia kukwambia maisha mazuri full mamilioni we jua hivyo tu. hata wao hawasemagi ukweli
 
kuna waaovaa saa mkononi wanaitwa sir meja....zipo saa za aina mbili saa ya kwanza inamwenge na saa ya pili inabibi na bwana.....huyu mwenye saa ya bibi na bwana ndio cheo cha mwisho kwa lever ya askari.....na hawa ndio huwa wakuu wa nidhamu katika kambi....wanamshara mkubwa kuliko hata captain

wewe!,,,tangu lini askari akamzidi mshahara afisa mwenye kamisheni?
 
ORDER
Imetolewa sasa hivi, hakuna ruhusa kujadili mambo ya kijeshi katika mitandao ya kiraia,
IMEZUILIWA.
 
ORDER
Imetolewa sasa hivi, hakuna ruhusa kujadili mambo ya kijeshi katika mitandao ya kiraia,
IMEZUILIWA.

Nimekukubali kwa lugha uliyoitumia wewe ni mjeshi wengine wote ni waongo.
 
Acha upotoshaji. Kama jenerali ni milioni 6 kivipi mkuu wa majeshi mil 15 wakati yeye ni Jenerali pia. Halafu unasema brigedia mil 5 na luteni usu mil 4. Unafaham naana ya luteni usu kweli mkuu? Nadhani kati ya luteni usu na huyo brigedia kuna vyeo vitano au sita kama sikosei.
Natamani modes wangefuta huu uzi maana unapelekea majibu ya kichochezi. Nadhani hata kule bungeni hawa jamaa mambo yao huwa hayaanikwi sana.
"Pro Patria"

Ni kweli mkuu yani nimesoma coments za watu humu..ni full kuongopeana!
 
Siku hizi vijana hawaendi jeshi kwa uzalendo bali maslahi,hawa ndio ikitokea vita na kupangwa front line wanajipiga risasi pajani kujivunja mifupa warudi kambini kama majeruhi:fencing:
 
Hawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.

commando anasifika lakini maisha yake yapo kama rehani mshara king'amuzi!

WTF
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuajiri wanajeshi dunia hii kijana,unaweza calculate value ya uhai wa mtu? kuwa mwanajeshi ni kurisk maisha.so kwa uelewa wangu kuhusu jeshini hawana mshahara wanaposho tuu ndio maana naskia ata hawaajiriwi..labda nenda upanga pale makao makuu yao kaulizie posho yao sh. ngapi sie ata atujui.

Think of me any how... then sort me but I am generally logical person I love science and computing...

Death is inevitable if that is scares the shit outta ya!
Lmfao
 
Back
Top Bottom