kuna waaovaa saa mkononi wanaitwa sir Meja....zipo saa za aina mbili saa ya kwanza inamwenge na saa ya pili inabibi na bwana.....huyu mwenye saa ya bibi na bwana ndio cheo cha mwisho kwa lever ya askari.....na hawa ndio huwa wakuu wa nidhamu katika kambi....wanamshara mkubwa kuliko hata Captain