- Thread starter
- #21
Hilo ndo jibu nililokuwa nalitaka sasa wengine wanazunguka tu. Kwa maana hiyo nyota sio kigezo cha kuwa na mshahara mkubwa?Yule mwenye lisaa(korokoro) anaitwa Mteule wapo wa aina 2 daraja la kwanza na daraja la pili mshahara wao ni mkubwa kuliko huyo luten usu.