Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sahihi kabisa, Wote pamoja wanaitwa Sergeant Major lakin tumezoea mtaani kuwaita SirMajor
Nimekusoma mkuu ahsante kwa ufafanuzi mzuri maana nilikuwa napata shida kidogo ukiwaangalia luteni usu ni wadogo kiumri ila cheo kikubwa ukilinganisha ni hao sameja ambao wengi ni wazee kazini
Na kwa kuongeza yule akipanda cheo anaenda moja kwa moja kuwa major kwa iyo lazima anamzidi sana luteni usu
Unazungumza usichokifahamu, Major Ni Cheo juu ya Capt na chini ya Luteni Kanali.
Wakati hao ma SirMajor Ni vyeo vya askari sio Maofisa
Nashukuru kwa kusema sikifahamu ninachoongea ingawa hakuelewa nilichosema .....fanya homework yako sirmajor akipandishwa cheo anakuwa anapewa rank ipi? Kama sirmajor ni cheo cha juu cha wapiganaji so hawezi panda zaidi ya hapo? Ni wote huishia hapo?
Nashukuru kwa kusema sikifahamu ninachoongea ingawa hakuelewa nilichosema .....fanya homework yako sirmajor akipandishwa cheo anakuwa anapewa rank ipi? Kama sirmajor ni cheo cha juu cha wapiganaji so hawezi panda zaidi ya hapo? Ni wote huishia hapo?
SirMajor sio Cheo (Rank) Ni nyadhifa.. Hiyo Ni pamoja na CI, CO na OC..
Umenipata mjomba!?
Kumbe ni ligi na si ktk hoja ya msingi...haya mkuu nashukuru kwa elimu hii
Jeshini Hakuna Mshahara.Ningependa kujua tu Jeshini JWTZ kati ya Luteni mwenye (nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi huwa ni watu wazima wenye miaka mingi kazini nani ana mshahara mkubwa?
Sasa je, mishahara ya Jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha Askari? Karibuni kwa ufafanuzi
Ligi ktk lipi? Unaelekezwa afu unazingua!?:what:
Siwezi Fanya ligi kamanda
Afisa mteule ni yupi? Level ya mwisho mpiganaji-men akipanda anakuwa nani, ukinijibia haya basi, tumemaliza mzozo, najua wajua ila wataka kuleta ligi. .nashukuru kwa kunielekeza mie ni raia najifunza mambo haya kwa utashi tu ila wewe utakuwa unajua mengi
Afisa mteule ni Cheo cha juu kwa NCO's
Akipanda kwa mantiki ipi!? Sababu ya kupanda!?
Akipanda maana yake anakua Officer na sio Men, na ili uwe Officer Ni lazima uhenye pale TMA, unless otherwise kwa idhini ya wakubwa (very rare)
Jambo afande!Umemjibu vizuri sana.
Labda hawajui rank of classification za jeshi .
Jeshini kuna tabaka mbili za wa wanajeshi.
1.Askari
2.Maafisa wa jeshi.
Rank za Askari zipo hivi( kuanzia chini)
1.Private
2.Corporal
3.sergeant
4.staff sergeant.
5.Warrant officer II
6.Warrant officer I
Mara nyingi ukifika hapo namba sita basi wewe utakuwa umri wako ushaenda sana may unakaribia kustaafu.
Sasa tuangalie vyeo vya maafisa
1.Luteni Usu.
2 .luteni
3 .Captain
4.Major.
5.luten kanali
6.Kanali
7.Brigedia Jenerali.
8.Major Jenerali
9.Luteni Jenerali.
10.Jenerali
11.Field Marshal
Hivi ni vyeo vya kijeshi but kuna nyadhifa na majukumu ama kamisheni wanazopewa .
Ningependa kujua tu Jeshini JWTZ kati ya Luteni mwenye (nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi huwa ni watu wazima wenye miaka mingi kazini nani ana mshahara mkubwa?
Sasa je, mishahara ya Jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha Askari? Karibuni kwa ufafanuzi