Ningependa kujua tu jeshini JWTZ kati ya Luteni usu(nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na Yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi huwa ni watu wazima wenye miaka mingi kazini nani ana mshahara mkubwa? Je mishahara ya jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha askari?
Karibuni kwa ufafanuzi
Sijaitwa jeshin mkuuumeitiwa ajira jeshini mkuu? ngoja waje wakufafanulie
Hahaha! MajangaHuyo Unayemdai Unadhani Akiuona Uzi Huu Atakulipa Mkuu? Ndiyo Umeshajipalia Mkaa. Hao Jamaa Huwa Hawakopesheki Na Ni Watata!
Mishahara siku hizi wanaweka hadi kwenye magazeti ila sijaona ya askariMshahara wa mtu ni siri yake na mwajiri.
Mshahara wa mtu ni siri yake na mwajiri.
Ww manjeta hunitakii memaNenda kambi ya jeshi yoyote iliyopo karibu nawe kaulize na ili upate jibu la uhakika nenda moja kwa moja hadi kwa mkuu wa kambi...huyo atakupa majibu sahihi kabisa unayohitaji na tena anaweza kukupa na nyongeza.
Huyo mwenye saa na kirungu sio warrant officer cheo chake nimesahauNajua mlikuwa mnabishana kati ya Luteni Usu na Warrant Officers nani ana mshahara mkubwa so umekuja kutafuta evidence humu
Mshahara ni siri
Ningependa kujua tu jeshini JWTZ kati ya Luteni usu(nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na Yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi huwa ni watu wazima wenye miaka mingi kazini nani ana mshahara mkubwa? Je mishahara ya jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha askari?
Karibuni kwa ufafanuzi
Kuna mshahara, ration na house allowance siku hiziJeshini hakuna mshahara wewe kaulizie vizuri
Huyo mwenye saa na kirungu sio warrant officer cheo chake nimesahau