Watoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya.
Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia, wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated.
Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno.
Serikali wawaangalie kwa jicho la 3 watu hawa muda mwingine wanatoa huduma mbovu kutokana na msongo wa mawazo unaosababishwa na uduni wa maslahi.
Hivyo basi serikali wawaboreshee mishahara yao.
Kwa ngazi ya degree mshahara angalau uwe milioni 5.
Kwa diploma mshahara uwe angalau uwe 1.5M ambao sawa na 50 kwa siku.