Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kaona waongezewe , wewe unapinga ili Nini? Wamekuzuia wewe kudai nyongeza? Mchawi wa mtumishi sio serikali ni Hawa viherehere wanaojifanya watetezi wa serikali... Kumbe wivu umefurika mioyoni na nafsini mwao.!!Mtu mwenye Diploma Nesi mshahara wake unafika millioni fwatilia hili utaniambia mimi nilisikitika nina Masters yangu MBA na nipo serekalini hup mshahara amenipita kiufupi serekali ina jali sana watu wa Afya sema shida yao kubwa wao hawaridhiki kbsa kbsa
Ndio binadamu tulivyo
Mkuu hao wenye cheti au diploma wanaolipwa 2M ni private au serikali hii hii??
Kama una ndugu au rafiki yupo kada ya afya, kaa naye vizuri akwambie hali halisiMtu mwenye Diploma Nesi mshahara wake unafika millioni fwatilia hili utaniambia mimi nilisikitika nina Masters yangu MBA na nipo serekalini hup mshahara amenipita kiufupi serekali ina jali sana watu wa Afya sema shida yao kubwa wao hawaridhiki kbsa kbsa
Ndio binadamu tulivyo
kama ww unaondoka na 15M basi afisa wa TRA ataondoka na 100MNapigaga madili mengi sana mloganzila aisee kwa mwezi naondoka na milioni 15 nje ya mshahara tu pale mloganzila mshahara wangu siugusi nawatandika WaTanzania! Nimesoma 6 year then unilipe vijisenti?
Kwani umelazimishwa? Kama unaona unahatarisha maisha si unaacha tu, ni lazima uwe daktari au nesi?
Alaf wengi washenzi tu mnaendekeza rushwa na mnaona ni haki yenu, unakutana na jitu linadai kabisa rushwa bila aibu, nyie jamaa bure kabisa.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
-sasa serikali ndio imeona hamstahili kulipwa vizuri wanawalipa vizuri TRA,EGA,EWURA,TCRASubiri nikufahamishe ww
Katika kada ambayo wanahatarisha maisha yao sanaa ni hawa madaktari wa wanyama na ndo wanastahiki kulipwa zaidi kuliko nyie
Kufundisha sio sawa na kutibu, afya ndio kipaumbele cha kwanza bila kuwa na afya hayo mengine yote ni sawa na bureFacts . lakini pia na wao walidhike na mishahara yao mwalimu anaefundisha watoto 800 kwa siku na yeye asemaje
hamna hela nyieHapo madili ya nje sijakusanua
Mazingira ya hawa yanahitaji kuwa jasiri; kushuhudia watu wanakata moto si mchezo; au mgonjwa ametobolewa tumbo unatakiwa umtibu n.kFacts . lakini pia na wao walidhike na mishahara yao mwalimu anaefundisha watoto 800 kwa siku na yeye asemaje
Waambie haoMazingira ya hawa yanahitaji kuwa jasiri; kushuhudia watu wanakata moto si mchezo; au mgonjwa ametobolewa tumbo unatakiwa umtibu n.k
sijakataa kuwa wana mazingira magum waona mtu anakat moto ila aakuomba toka ulipo j3 nenda shule yyt kijijin ya serikal mtafute mwalim wa darasa la kwanza au la pili muulize mazingira yake ya usomeshaj / wanafunz yapojeMazingira ya hawa yanahitaji kuwa jasiri; kushuhudia watu wanakata moto si mchezo; au mgonjwa ametobolewa tumbo unatakiwa umtibu n.k
Huyo daktari ambaye mambo yakimshinda anasema basi mgonjwa aliwe ?Subiri nikufahamishe ww
Katika kada ambayo wanahatarisha maisha yao sanaa ni hawa madaktari wa wanyama na ndo wanastahiki kulipwa zaidi kuliko nyie
Ngoja tuwasubiriNiambieni mshahara wa
Daktari Bingwa
Dactari GP
Afisa Tabibu
Tabibu msaidizi
Nurse Degree
Nurse diploma
Nurse certificate
Pharmacist
Pharm Tech
Pharm assistant
Halafu ndo nichangie hoja yangu
Na kada nyingine mkuuNurse Diploma Tamisemi Basics 740K
Akiwa chini ya Serikali kuu namaanisha anafanya kazi kwenye Taasisi za umma kama MNH,MOI,KCMC,BUGANDO Basics Yake ni 1.2M
MD
Tamisemi Basics 1.5M
Serikali kuu 1.7
Umesoma 6 years huondoke na 15m mwezi nje ya mshahara.Napigaga madili mengi sana mloganzila aisee kwa mwezi naondoka na milioni 15 nje ya mshahara tu pale mloganzila mshahara wangu siugusi nawatandika WaTanzania! Nimesoma 6 year then unilipe vijisenti?