Acheni kazi nyinyi ......Afya Afya badala kusema mishahara ya Serekali kwa watumishi wa Umma ipo chini iongenzwe wewe unaleta habari zenu hapa
Acheni kazi tutawatoa Cuba [emoji1083] [emoji3531] [emoji3590]
Nikuambie Tuu katika wafanyakazi wenye elimu ndogo nawalipwa vizuri ni Nyinyi
Mchukue nesi mwenye cheti au Diploma mshahara wake karibu millioni 2 unakuja hapa unasema habari zako
Nesi anayeaza kazi analipwa karibu laki tano na themanini
Kumbuka manesi wanasemina nyingi na kazi nyingi sana za Posho kuliko mwalimu wa shule ya msingi au Secondary acheni Ubinfsi mkubwa nyinyi
Mkuu hao wenye cheti au diploma wanaolipwa 2M ni private au serikali hii hii??Acheni kazi nyinyi ......Afya Afya badala kusema mishahara ya Serekali kwa watumishi wa Umma ipo chini iongenzwe wewe unaleta habari zenu hapa
Acheni kazi tutawatoa Cuba [emoji1083] [emoji3531] [emoji3590]
Nikuambie Tuu katika wafanyakazi wenye elimu ndogo nawalipwa vizuri ni Nyinyi
Mchukue nesi mwenye cheti au Diploma mshahara wake karibu millioni 2 unakuja hapa unasema habari zako
Nesi anayeaza kazi analipwa karibu laki tano na themanini
Kumbuka manesi wanasemina nyingi na kazi nyingi sana za Posho kuliko mwalimu wa shule ya msingi au Secondary acheni Ubinfsi mkubwa nyinyi
Mtu mwenye Diploma Nesi mshahara wake unafika millioni fwatilia hili utaniambia mimi nilisikitika nina Masters yangu MBA na nipo serekalini hup mshahara amenipita kiufupi serekali ina jali sana watu wa Afya sema shida yao kubwa wao hawaridhiki kbsa kbsaMkuu hao wenye cheti au diploma wanaolipwa 2M ni private au serikali hii hii??
Tena hao manesi wanamajibu ya kwenda motoni sanaWatumishi wa Umma wanabi kupunguziwa mshahara Huduma zenu bado Ni mbovu
tutawakimbukaSerikali itukumbuke watumishi wote
Subiri nikufahamishe wwWatoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya.
Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia ,wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated.
Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno.
Serikali wawaangalie kwa jicho la 3 watu hawa muda mwingine wanatoa huduma mbovu kutokana na msongo wa mawazo unaosababishwa na uduni wa maslahi.
Hivyo basi serikali wawaboreshee mishahara yao.
Kwa ngazi ya degree mshahara angalau uwe milioni 5.
Kwa diploma mshahara uwe angalau uwe 1.5M ambao sawa na 50 kwa siku.
Kwani umelazimishwa? Kama unaona unahatarisha maisha si unaacha tu, ni lazima uwe daktari au nesi?
Alaf wengi washenzi tu mnaendekeza rushwa na mnaona ni haki yenu, unakutana na jitu linadai kabisa rushwa bila aibu, nyie jamaa bure kabisa.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Wapunguziwe uone kama Hujalala Kwenye Mtaro tukuzikeWatumishi wa Umma wanabi kupunguziwa mshahara Huduma zenu bado Ni mbovu
Facts . lakini pia na wao walidhike na mishahara yao mwalimu anaefundisha watoto 800 kwa siku na yeye asemajeTatizo si mshahara; bali wanatakiwa waajiriwe wengi ili mhudumu mmoja aweze kuhudumia watu wachache kwa siku, kwa kufuata 'standard' za afya zinavyoelekeza
Manesi gani hao Hawa manesi na madaktari wanagawanyika wapo serikali kuu na serikali za mitaa manesi wa wapi unaosemaMtu mwenye Diploma Nesi mshahara wake unafika millioni fwatilia hili utaniambia mimi nilisikitika nina Masters yangu MBA na nipo serekalini hup mshahara amenipita kiufupi serekali ina jali sana watu wa Afya sema shida yao kubwa wao hawaridhiki kbsa kbsa
Ndio binadamu tulivyo