Mishahara kada za Afya iongezwe, wanahatarisha sana maisha yao

Nurse Diploma Tamisemi Basics 740K

Akiwa chini ya Serikali kuu namaanisha anafanya kazi kwenye Taasisi za umma kama MNH,MOI,KCMC,BUGANDO Basics Yake ni 1.2M

MD

Tamisemi Basics 1.5M

Serikali kuu 1.7
Kwaiyo kwenye nyongeza Ile, nurse diploma umetoka kutoka 680k hadi 740k
 
Nurse Diploma Tamisemi Basics 740K

Akiwa chini ya Serikali kuu namaanisha anafanya kazi kwenye Taasisi za umma kama MNH,MOI,KCMC,BUGANDO Basics Yake ni 1.2M

MD

Tamisemi Basics 1.5M

Serikali kuu 1.7
Hizo takwimu umezitoa wapi 1.2M ni mshahara wa wa Nursing officer( degree).. anaefanya kazi kwenye taasisi za serikali.
Diploma hafiki huko.
 
Mshahara unaongezwa kutokana na hali ya maisha sio kama hivyo unavyosema wewe from nowhere waongezewe tu bila sababu za msingi wale trafiki wanaokaa juani kutwa nzima wanapigwa na jua unajua wanaishije wale.
 
Bishaneni mkimaliza nitawaeleza kwa payslips kuanzia nesi mpaka sisi akina MD4 ila jua hakuna masilahi ukilinganisha na muda uliotumikia what we call elimu ya juu na upuuzi mwingine wote.

Niko mbeya vijijini_Isuto nalima mahindi na pia nauza vipodozi karibu dada To yeye na mkubwa wa kaya Mad Max niwahudumie kwa vipodozi kutoka mashariki ya mbali
 
Isuto ipo wapi?
 
Hizo takwimu umezitoa wapi 1.2M ni mshahara wa wa Nursing officer( degree).. anaefanya kazi kwenye taasisi za serikali.
Diploma hafiki huko.
Acha ubishi nenda kawaulize diploma muhimbili wanalipwa Tsh ngapi basic 1.2 take home 930K
 
Hizo takwimu umezitoa wapi 1.2M ni mshahara wa wa Nursing officer( degree).. anaefanya kazi kwenye taasisi za serikali.
Diploma hafiki huko.
Degree kwa Tamisemi Sawa...

Ila Taasisi za serikali wanalipa nadhani unabishana na mimi ukiwa hauna data
 
Asante mpaka hapo najua umejua kwanini wale wa natafuta mchumba humu ndani uwa siwaachi kuwafuata japo wananifanya vile wanajisikia .
Weka tangazo utapata...sema huwa wanakuja wengi ni ngumu kumpata the right one
 
Nivyema ongezeko hilo liendane na wajibu..wengi wa watoa huduma wamekua vilaza na wazembe wa kutupwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wenye degree walipwe million 17, diploma million 13 na cheti million 5 apo at least wataweza Miliki ata IST
 
Duh tanzania hii hii kwenye cycle ya serikali au shirika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…