Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

Naona tayari ATM zishasoma, awamu hii watanzania wanajiongoza kupitia mitandao,

Mama kaziake kuangalia upepo unaelekea wapi then ana toa maagizo.
Mh!!! It's an Interesting move ,let's see if it works.
 
Oh kumbe; nawe ni mwendeleza legacy. " It is a petty issue. You cannot judge on a one point event. After all; salaries for this month have been paid before month-end".
 
Hata ukilipwa tarehe 30 mshahara bado haujachelewa
serikali ina kz nyingi kwa taarifa za chini ya kapet mshahara utachelewa sbb kulipa malimbikizo na vyeo vipya wataanza kulipwa mwezi huu
 
Haijwahi kutokea wafanyakazi wamekaa miaka 5 bila kuongezwa mshahara
Tunalinganisha na miezi ya sita iliyopita. Haijawahi tokea mwezi wa 6 mshahara wake ukawa haujalipwa kabla ya tarehe 24.
 
Haijawahi kutokea miaka mitano kupita bila wafanyakazi kupandishwa madaraja
Tunalinganisha na miezi ya sita iliyopita. Haijawahi tokea mwezi wa 6 mshahara wake ukawa haujalipwa kabla ya tarehe 24.
 
Haijawahi kutokea miaka mitano bila madaktari na walimu kuajiriwa
Tunalinganisha na miezi ya sita iliyopita. Haijawahi tokea mwezi wa 6 mshahara wake ukawa haujalipwa kabla ya tarehe 24.
 
Siku ya mshahara ni tarehe 30 kila mwezi weye wataka uwahi ili iweje
 
Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo MDOGO wa Rais Samia​

ati tarehe 01hadi 30 ni mwezi na siku kumi ila tarehe 23.hadi 24.ya mwezi unaofuata ndio mwezi kamili.kalenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…